[QUOTE
nitoke niende wapi bwana halafu bureeeeee siku saba[/QUOTE] Mi nneshindwa kuelewa chochote hapa, nimeona picha imezibwazib na maandishi, kulikoni voda?
nimejaribu kutumia kwene mashine yangu ya MAC imegoma kumbe bandwidth yangu amegaiwa mtu mwingine, mtandao unakata kama auna akili nzuri...kweli Voda kazi ni kwako/