Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

Kwahiyo akakudanganya yeye ndie mmiliki wa KopaGas?! Nakumbushia tena, ACHA KUDANGANYA WATU! Eti alivyo smart akaenda kupokelea pesa zake Nairobi; dah!!!

Anyway, ubarikiwe Bilionea wa Kichaga, na kwaheri!!
So you know him better than me

Kweli Wazaramu hamjambo. Wasalimie kwenye kahawa hapo.
 
Huwezi kuwa proud na kabila lako kama wewe kabila lako sifa zake ni umaskini, ushirikina, upumbavu na ujinga..

Waache watu wawe proud na makabila yao na wala hakuna ubaya wowote ule..

Nilichojifunza humu JF wengi mnaojifanya sijui mnaoogelea ukabila, makabila yenu ni primitive sana na dhofu Al Hali..
 
Aaah we jamaa maendeleo hayana ukabila!
Kama maendeleo hayana ukabila jiulize kwanini vijiji vya mikoa ya Kilimanjaro, Kagera, Mbeya, Niombe, Arusha vimejengeka vyema kuliko mahali kwingine??

Jiulize kwanini barabara bora, huduma za afya na shule bora ziko kwenye jamii fulani tu na kwingineko ni kucheza watoto ngoma na kuwaodhesha wakiwa wadogo?
 
Hii ranking inatumika in a positive way sio negative .
Ukabila ni mbaya kama inatumika kufanya oppression katika mambo kuntu sio mbaya. Ulitaka mzaramo awe on top of the list?
Hata sijui nani ni Mzaramo najua fulani ni Mtanzania ; Na kwa macho ya kidunia fulani ni Binadamu, kwangu mimi ninajudge watu according to their characters na sio vinginevyo...

Pia as time goes on wote ni ma-half caste (tumechanganyikana) thanks to intermarriages...
 
Kama maendeleo hayana ukabila jiulize kwanini vijiji vya mikoa ya Kilimanjaro, Kagera, Mbeya, Niombe, Arusha vimejengeka vyema kuliko mahali kwingine??

Jiulize kwanini barabara bora, huduma za afya na shule bora ziko kwenye jamii fulani tu na kwingineko ni kucheza watoto ngoma na kuwaodhesha wakiwa wadogo?
Kwenda huko kwenye hivyo vijiji / Miji yenye maendeleo kuishi unahitaji Passport wewe kama Mtanzania ? Binadamu ni wachoyo / wabinafsi by nature. Ukiendekeza usisi na uwao ndio mwanzo wa kuvunja Taifa
 
Huwezi kuwa proud na kabila lako kama wewe kabila lako sifa zake ni umaskini, ushirikina, upumbavu na ujinga..

Waache watu wawe proud na makabila yao na wala hakuna ubaya wowote ule..

Nilichojifunza humu JF wengi mnaojifanya sijui mnaoogelea ukabila, makabila yenu ni primitive sana na dhofu Al Hali..
Really? Kama Unadhani africa na tanzania kuna sehemu ambayo hakuna ujinga, umasikini,ushirikina and blah blah whatever the hell?
you must be seriously nuts.

Africa na Tanzania nzima ni sehemu ambayo imejaa umasikini, ujinga na ushirikina na wewe mtu mmoja mdogo sana kutoka katika kundi la billion ya hao watu masikini, wajinga plus washirikina unasema unashikilia uchumi.
Like what the hell?
Sasa waingereza na wamarekani nao wasemeje?
Now si unaona sifa zote ulizotaja zimerudi kwako?

That's why nimesema toka humo ndani kwenye hako kalittle fantasy Island njoo outside kwenye real world then I hope you'll stop being delusional.
Alafu kabisa yaani unadhani uchumi mzima wa Tanzania umetengenezwa na watu wachache tu?

Hii mada na ulichokiandika obviously vimebase kwenye emotions, opinions and personally perspectives which means kila ulichokiandika ni fallacy.
That's why nimesema stop dreaming.

Waache watu wawe proud na makabila yao na wala hakuna ubaya wowote ule
Ooh yeah I see kuwa proud huku unatukana wengine kama alivyofanya mleta mada?
Huoni hiyo ni sign ya ujinga, inferiority complex na utoto?

Hii formula inafafanua kwanini kuna watu wa aina yenu.

Ujinga²=Ukabila) Or Ukabila=Ujinga².

Fanyeni calculation then mtapata majibu.

The truth will set you free but first it'll piss you off.
 
hawajapakimbia kwa sababu ya ushindani wa kibiashara ila wamekimbia kwa sababu ya ubaguzi wenu na ukabila
Ubaguzi gani?
Kama hujui wateja wa eneo lako wanataka nini utakimbiwa na wateja wote alafu utabaki kusema unabaguliwa
 
hakunaga kujua wateja wanataka nini,huwa mnaangalia majina akina Mosha,Kimario.
Unavuka huduma unatumia gharama ya usafiri kwenda mbali kufuata huduma kwa vile inatolewa na mchaga unaivuka iliyo karibu kwa vile sio ya mchaga.
Na kingine kule moshi wahindi wanakimbia kwa sababu hata akitaka kununua eneo ananyimwa yaani moshi hata kununua eneo huuziwi kama sio mchaga au mzawa wa kule ni ushenzi sana huo.
Ubaguzi gani?
Kama hujui wateja wa eneo lako wanataka nini utakimbiwa na wateja wote alafu utabaki kusema unabaguliwa
 
MTOA POST .....NAKUBALIANA NA POST YAKO ........

Ila umewasahau. WASAFWA

sisi wanyakyusa japo hatupo sana kwny mambo ya biashara ....but tuna namna flan ya kufanya mfano ......kilimo cha mazao ya biashara mfano .........KAHAWA, MPUNGA, PARACHICHI N.K

ila kwa ndugu zangu wakinga ni mafighter sana big up sana
 
Kwahiyo mtu kuwa na asili Asia ni kabila ?? Hata napo mleta maada acha kutugawa kikabila. Kusema kabila flani ni bora kuliko kabila lingine sidhani kama inafaa
 
Yote uliyoandika hapo ni mtazamo wako hasi dhidi ya wachagga, wala hauna facts za kuudhibitisha.
 
Back
Top Bottom