Hii ndio Tanzania ya ombaomba na naambiwa walianza kuingia mjini enzi za Mwinyi

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
utawala wa nyerere haya mambo hayakuwepo
7562a8d548c086864b252ba56fa7a9f9.jpg
16925d394142626e7da38d14dc98deaa.jpg
d2eacbd55b50bcba74d002f4f279e62b.jpg
62f2923dd4465fd3f4da4ae6238cf91c.jpg
5d4c43b78a357f076c3d0eb6c1b918a6.jpg
646da8af191f8eb8b16c5ee006b8dc28.jpg
208cbcdbf9c77a9d950830c9b34e910e.jpg
db23967ad0d90c98084777bea00c6cc8.jpg
 
Unafikir kwa nn enz za nyerr hayakuwapo hayo ikiwa marekan nch yenye uchum imara kuna omba omba
Sasa elewa kuwa hayo mambo hayakuwapl kutokana na sera ya ujamaa na kujitegea sera ya kibabe ambayo kila mtu ataish atakula na kuvaa vile serikali inataka aliplkuja .winy katika soko hiria ombaomba madalali na wez wa mofukon wachezesha kamar wakaanza kuwa weng kwa sabab ya mfumo laki so hali ngumu hata kidogo
 
basi ujamaa ulikuwa bora maana kila mtu alipiga kazi badala ya kuomba au unasemaje
 
Sema Kuna Omba Omba wa kweli na wa uongo wengine Ni wavivu tu. Ulemavu wa viungo ambao huwezi kabisa kujishughulisha na kazi yeyote ile unastahili kusaidiwa 100% sasa Kuna ombaomba uwezo wanao karibu 75% wanaomba Kila siku Kuna ninaowafahamu yaani wananguvu zao haswa wanaanza kuomba from asubuhi hadi saa saba usiku unawakuta tu pale Dar mataa ya maktaba hadi unashindwa kuelewa nguvu walizonazo. Kisa mguu mmoja umekatika nusu. Yaani wanashindwa na wale walemavu wasio kabisa na miguu wanaendesha bajaji bodaboda kariakoo to kivukoni
 
Back
Top Bottom