tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
nimenunua simu kali sana wana jf wenye donge poleni
Sim gani hiyo! Sim za ceo shoga ndo kali! Acha ushamba
Inaonekana ni Iphone...
Kwa ushamba wake lazma awe ameuziwa.copy ya mchina
nimenunua simu kali sana wana jf wenye donge poleni
wengine uwa waongo wewe ukimpereka mkeo anapigwa mimba kama kawaidaSim gani hiyo! Sim za ceo shoga ndo kali! Acha ushamba
nyie ndio wapenda maendeleo na ndio mnaitajika tanzania nimependa sana mkuuDuh! Taratibu jamani. Tumpe hongera amepiga hatua
kumbe mkuu wewe ndio mshamba picha iyo unayoiyona tu kama mtu mjanja unajua kwamba hii OGInaonekana ni Iphone...
Kwa ushamba wake lazma awe ameuziwa.copy ya mchina
kweli mkuu jamaa ajui simu pia ajui copy na original wajanja kama wewe wameshajua hiki kitu ogkwa ushamba wako hujui simu
ninalosiku ukinunua gari utapost tena humu