kweli mkuu hata sio mshamba iyo ni iphone izo app ni za kawaida tu unazirandeem na kutumiaMbona sielewi
Icons Kama iphone but I don't think if it's iphone
Au ushamba!😳
vitu vidogo mkuu hivyo havina haja ya kuchangaInaonesha ulichanga sana mtoa mada
ninalo
Sim gani hiyo! Sim za ceo shoga ndo kali! Acha ushamba
duuu iyo yako ni iphone ? Mkuumi yangu kwenye kuchat naweza ongea yeyewe inaandika then nareply,btw hongera
alcatel one touch mkuuduuu iyo yako ni iphone ? Mkuu
ngapi shop iyo maana hii nimeitoa laki tisa mkuualcatel one touch mkuu
mbona zinaeleweka mkuuMbona hizo icon cjazielewa...
iphone 5cNi aina gani hiyo?