Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Hivi karibuni kampuni ya Infinx imekuwa inajitahidi sana kwani hivi karibuni ilizindua simu ya Infinix Hot 6 ambayo inakuja na processor ya Snapdragon na hii ni mara ya kwanza kabisa kwa simu za Infinix Kuwa na proccesor za aina hii.
Ukweli ni kuwa Infinix Hot 6 ni simu nzuri sana na mimi binafsi sio mpenzi wa simu za Infinix lakini siku za karibuni kampuni ya Infinix inanza kunifurahisha, na maybe siku sio nyingi nitafanya simu hii kama simu yangu ya kutumia muda wote.
Anyway kujua zaidi kuhusu Infinix Hot 6 unaweza kusoma zaidi hapa, lakini siku ya leo naomba kushare nawe muonekano wa simu hii ya Infinix Note 5. Kwa upande wangu naona kama kampuni ya Infinix imeanza kuja vizuri labda hadi mwakani tunaweza kutegemea mambo makubwa kutoka kampuni hii... Vipi wewe unaonaje..?