Samwel Meleka
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 601
- 269
Kataa kwa evidence mkuu kwa sasa kila kitu kipo wazi jina hilo ingia mtandao ni.Nakataa kwa nguvu zote. Hata gari la bei hiyo hakuna hapa duniani sembuse simu!
Acha fix weweInaitwa Falcon supernova pink Diamond iphone 6
Bei yake ukiwa na hiyo pesa wewe ni trio nea inauzwa usd 95.5milion (1.58trion tz sh)View attachment 322631View attachment 322632
Fix kwa lipi thibitishaHizi fix hizi
Duuu bahati mbaya picha hazifunguki
Haha si uwe unatumia google itakusaidia kidogoNakataa kwa nguvu zote. Hata gari la bei hiyo hakuna hapa duniani sembuse simu!
Thibitisha uongo wanguAcha fix wewe
Bisha kwa ushahidi.Mbona inafanana na yangu???kadanganye kwingine!