Hii ndio sifa pekee ya mke/mme

Hii ndio sifa pekee ya mke/mme

Pia asikufanye ushindwe ktimiza MALENGO NA NDOTO zako binafsi kama BINADAMU mwenye utashi wako!

I hate it mtu anapotaka USACRIFISE NDOTO ZAKO NA MALENGO kwa ajili yake yeye, na atimize malengo yake!

This is why i dont want to marry!!!!!!!
 
Hasa kwa wale wanaokwambia acha kazi nitakupa kila kitu.
 
useme wewe mama kajipinda kunisomesha afu mtu anakwambia acha kazi ntapigana

Kama atasema acha kazi na nafsi yako ikafurahi haina shida ila akisema acha kazi wewe binafsi ukasononeka huyo sio! mfano yawezekana kazini unanyanyasika akikwambia acha huko na akakupa good alternative hiyo sio mbaya lakini acha ukamsaidie kufanikisha ndoto na malengo yake!! inatisha kwenye muundo wa ubongo wake!
 
na hicho atachonipa kinilipe zaidi ya nnachokifanya sio niache nikae nyumbani hii hakunaga.mi nasoma ili niache kuombaomba afu ye anakuja kuniweka ndani ili niendelee kuomba.na hakuna kitu nachukia kama kumuomba mtu hela hainipagi amani hata siku moja. sijui house wife huwa wanaishije hata sielewi
 
kutimiza malengo yake, mh hivi mkishaoana bado kila mmoja ana malengo yake kweli?
 
pia ASIKUZEESHE KABISAAAAAAAAAA
amekuoa ukiwa ng'ari ng'ari aendelee kukutunza uwe ng'aring'ari
kama wazeee wasemavyo mke ni pambo la nyumba
 
Wale wanaokwambia "Baby come and pick me nataka kwenda shopping" wakati wewe upo ofisini usiwape nafasi...

"Nlikuwepo":bolt:
 
ndo maana ndoa nying za cku hiz hazdum coz kila 1 ana ndoto zake, ln mtakua na strong bond wakat kla 1 na njia yake bana
 
Back
Top Bottom