Hii ndio shule yetu

Hii ndio shule yetu

Profesa

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
903
Reaction score
629
Inavutia, ina hewa ya kutosha, uhuru wa kuingia na kutoka bila kupitia kwa mwalimu, huhitaji kuchungulia kujua kinachoendelea nje, ni shule yenye kiwango cha juu kabisa hata hatari yeyote ikitokea ni rahisi sana kusave...
 
Attachments

  • Shule yetu nzuri.jpg
    Shule yetu nzuri.jpg
    4.9 KB · Views: 458
Mungu atunusuru tunasubiri msaada toka Marekani au China kutujengea shule viongozi wetu wabay sanaaa
 
itakua sawa. muhimu mafunzo. ukuta na mabati ni ubishoo tu.
 
Inavutia, ina hewa ya kutosha, uhuru wa kuingia na kutoka bila kupitia kwa mwalimu, huhitaji kuchungulia kujua kinachoendelea nje, ni shule yenye kiwango cha juu kabisa hata hatari yeyote ikitokea ni rahisi sana kusave...
In the abundance of water the fools are thirsity...............rat race!
 
.......... Baba Nyerere ongeza majela wafungwe, wala rushwa, ongeza majela wafungwe, wahujumu uchumi, ongeza majela wafungwe ............."
 
hii ni Miaka 50 baada ya uhuru au kabla ya uhuru wa tanganyika?
 
Mbona bomba tu kwa Tz hii,haina shida kabisa hii shule.
 
Back
Top Bottom