Hii ndio Shinyanga Maji

Ule mradi uliofunguliwa kwa mbwembwe vp?
 
hapa sio shy mahali ule mradi umepita lazima hapa pawe maswa kwani huo mradi uko kahama na shinyanga mjini tu..
 
hapa sio shy mahali ule mradi umepita lazima hapa pawe maswa kwani huo mradi uko kahama na shinyanga mjini tu..
...au yaweza kuwa ni Meatu....maana kule nako bado gizano kweli kweli...
 
Hapo siyo shy wala kahama. Siku hizi hayo maeneo maji yapo bwerere labda ushindwe mwenyewe. Mradi umeleta ukombozi mkubwa sana shy japo nina wasiwasi kama kweli maji yatafika tabora kama ilivyoahidiwa na kilanja wa magamba.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…