Hii ndio sensor kuu katika gari (master sensor)

Mkuu sorry mara ya kwanza nilisoma juujuu uliposema umebadili CVT nikajua ulifunga gearbox mpya. Sasa nilipokuja kusoma vizuri baadae nikaona kwamba kumbe nilikosea.

1. Suala la gari yako kung'ang'ania kwenye gear namba mbili inaweza kuwa inasababishwa na shida kwenye primary up solenoid, valve zake au return spring yake. Hapo mpaka nifungue valve body ya hiyo gearbox nikague hivyo vitu nilivyokutajia...
Nipe ushauri mkuu wa namna ya kuliondoa tatizo. Au nifanyeje?
 
Nilijua utasema Crank sensor mana ikibuma hii si ndio engine inagoma kuwaka tena 😀 nnayokumbana kwenye project yangu japokuwa hamna hio sensor kazi yake inafanywa na distributor.
 
Nitakupigia pia sim lakini shidayangu ni; 1. Gari yangu ni Subaru auto gea inang,ang,ania kwenye namba 2 tu. Nimebadili CVT lakini bado. Pia taa ya check engine inawaka na mafundi wameniambia ni Oxygen sensor imekufa. Nifanye nini kurekebisha matatizo hayo? Nipo Moshi
Subaru hio ulikuwa huifanyii fujo ukaparaganyua gearbox na kusababisha gear nyengine kuwa neutral lakini 😀
Anyways, huenda ikawa kitu kinaitwa shift fork ndani ya gearbox ndio inakukwamisha. Itabidi ishushwe gearbox itizamwe ndani kama ipo salama kila kitu. Au labda kuna shida na speed sensor, yote ni possibilities io.

O2 sensor kama imepimwa na wamekwambia ununue nyengine, basi nunua nyengine tu. Lakini hio check engine light imetazamwa vizuri na kutoa code moja tu? isijekuwa kuna na code nyengine ambazo zinaweza kukupa mwanga wa tatizo ulilokuwa nalo!
 
Hii ni mfumo wa CVT transmission....
Mfumo huu unahitaji matumizi mazuri hasa Kwenye upande wa kutumia sport shift,Kwa maneno ya mjini usipende Sana kutumia sport mode inafaa zaidi gari ikifikisha speed 60 km/h ndipo utumie
Naomba nielezee kwa kutumia hiyo picha uliyoonyesha. Hiyo sport mode ni ipi?
 
Nilijua utasema Crank sensor mana ikibuma hii si ndio engine inagoma kuwaka tena 😀 nnayokumbana kwenye project yangu japokuwa hamna hio sensor kazi yake inafanywa na distributor.

Hahah hii ECT sensor naona wameipa ukiranja mkuu kulingana na kwamba ina majukumu mengi kuliko wenzake. Maana hata unapowasha gari hii ndio sensor ambayo signal uake inapewa kipaumbele.
 
Subaru hio ulikuwa huifanyii fujo ukaparaganyua gearbox na kusababisha gear nyengine kuwa neutral lakini 😀
Anyways, huenda ikawa kitu kinaitwa shift fork ndani ya gearbox ndio inakukwamisha. Itabidi ishushwe gearbox itizamwe ndani kama ipo salama kila kitu. Au labda kuna shida na speed sensor, yote ni possibilities io.

O2 sensor kama imepimwa na wamekwambia ununue nyengine, basi nunua nyengine tu. Lakini hio check engine light imetazamwa vizuri na kutoa code moja tu? isijekuwa kuna na code nyengine ambazo zinaweza kukupa mwanga wa tatizo ulilokuwa nalo!

Automatic hazinaga shift fork iwe ni convetional au CVT. Tena kama CVT speed inabadilika kwa kuapply pressure kwenye pulleys ambazo width yake ni variable.

Na ndio maana ukiendesha gari yenye CVT hutajua gia zinaingiaje. Shifting yake iko very smooth kuliko gearbox ya aina yoyote.
 
Ah hata sikusoma kwa utulivu, nlivoona gear hazibadiliki nikarukia tu fasta, Haikuniingia akilini kama inatumia gear za Scooters.

Basi naona itambidi aishushe itazamwe ndani iko hali gani, labda belt haiko sawa
 
Naomba nielezee kwa kutumia hiyo picha uliyoonyesha. Hiyo sport mode ni ipi?
Hiyo knob ukipeleka Kwenye alama ya + gari inakuwa Kwenye sport huwa inakimbia mno na kuchanganya mapema ni kama ilivyo Kwenye Magari mengine tunasema "over drive".

Kwenye Subaru forester ambayo ndiyo nimewahi kuendesha kuna batani IPO Kwenye sterling nayo ina alama ya + hivyo ukibonyeza hiyo alama Kwenye sterling unaitoa fasta knob Kwenye D unaipeleka Kwenye + (hiyo ndiyo njia ya gari kuwa Kwenye sport mode)
BG471347_cb41d1.jpg
 
Ah hata sikusoma kwa utulivu, nlivoona gear hazibadiliki nikarukia tu fasta, Haikuniingia akilini kama inatumia gear za Scooters.

Basi naona itambidi aishushe itazamwe ndani iko hali gani, labda belt haiko sawa

Ila belt ya CVT kama ya subaru hainaga shida sana. Labda kama gari imeshagonga 160,000km.
 
Kiongozi mi nina prado 95, tatizo haikubali thermostat, nilinunua kwa mtu nikakuta haina thermostat, hivyo nikaamua niwekee, imekataa inachemsha, nimebadilisha thermostat zaidi ya 3, nikiweka tu inachemsha nikitoa Safi napeta, tatizo laweza kuwa ni nini?
 
Jamaa aseme yake ina KM ngapi hadi sasa, labda imegonga hapo tayari na inahitaji kuchekiwa. Uendeshaji nao unachangia, isijekuwa jamaa kutwa madrift na kuistress gearbox. Halafu si kuna transmission ECU?

Hii pia inatakiwa iripoti hizi fitna. Ndio mana nkamuuliza hio check engine imekuja na code moja tu ya O2 kweli? Kama sikosei Niliwahi kuona BMW ikitoa error iayohusu transmission.
 
Jamaa aseme yake ina KM ngapi hadi sasa, labda imegonga hapo tayari na inahitaji kuchekiwa. Uendeshaji nao unachangia, isijekuwa jamaa kutwa madrift na kuistress gearbox. Halafu si kuna transmission ECU? hii pia inatakiwa iripoti hizi fitna. Ndio mana nkamuuliza hio check engine imekuja na code moja tu ya O2 kweli? Kama sikosei Niliwahi kuona BMW ikitoa error iayohusu transmission.

Check engine ikiwaka shida inaweza kuwa engine au Transmission. Hicho kitu kipo kweli.

Kiuhakika zaidi angefanya computer diagnosis kwanza...
 
Kiongozi mi nina prado 95, tatizo haikubali thermostat, nilinunua kwa mtu nikakuta haina thermostat, hivyo nikaamua niwekee, imekataa inachemsha, nimebadilisha thermostat zaidi ya 3, nikiweka tu inachemsha nikitoa Safi napeta, tatizo laweza kuwa ni nini?
Kachekishe sensor ya temp inafanya kazi? na je communication ipo mpaka kwenye thermostat. Kawaida inablock maji kwenda kwenye engine mpaka yanapohitajika inaruhusu mzunguko.
 
Huenda water pump ina shida. Ina pump maji ila haina nguvu ya kuweza kuisukuma spring iliyopo kwenye thermstat hivyo kila unapoweka thermostat maji yanakuwa blocked kuzunguka sababu pump haina nguvu.
 
Kachekishe sensor ya temp inafanya kazi? na je communication ipo mpaka kwenye thermostat. Kawaida inablock maji kwenda kwenye engine mpaka yanapohitajika inaruhusu mzunguko.

Yes sensor ya temperature ni vizuri pia akaiangalie...
 
Check engine ikiwaka shida inaweza kuwa engine au Transmission. Hicho kitu kipo kweli.

Kiuhakika zaidi angefanya computer diagnosis kwanza...
Kuna matatizo ni vyema kufanya diagnosis na kuona live data. Ila hivi wapo mafundi kweli hapa ambao wanaweza kusoma live data na kuzielewa ama ndio kusoma code basi mchezo umeisha? Maana kuna matatizo mengine bila live data utajikuta umepigwa chenga.
 
Back
Top Bottom