Hii ndio sababu ya PolePole kuamua kuwa kama alivyokuwa

Mkuu kumtetea mwanasiasa ni kazi ngumu mno. Ndio maana sina chama cha siasa wala timu ya kushabikia mpira. Siasa ni afadhali ya ukahaba.
Unatakiwa uwe unatetea au kupinga issues na sio vyama wala watu, kwa mantiki hiyo unatakiwa umuunge mkono yeyote anayefanya jambo sahihi wakati wowote na kinyume chake.
 
Unatakiwa uwe unatetea au kupinga issues na sio vyama wala watu, kwa mantiki hiyo unatakiwa umuunge mkono yeyote anayefanya jambo sahihi wakati wowote na kinyume chake.

Hapo tupo pamoja kabisa, nakubaliana na wewe kwa kiwango cha vipimo vyote.

Kwa upande wangu, huwa sio mchoyo kupongeza jema bila kujali linafanywa na nani, hali kadhalika kukosoa baya hata kama aliyelifanya upepo unaendana sana na mimi kwa namna moja ama nyingine.

Tunakosa maoni na ushauri mzuri sana kwa kivuli cha ushabiki na uchama. Mtu hawezi kukosoa maovu ya upinzani kwa vile ni mpinzani, au hawezi kupongeza juhudi zenye matunda zinazofanywa na serikali kwa sababu yupo upinzani.

Tatizo kwenye huu uzi, umeamua kumbeba mtu...
 
Yeah, Kwa hapa nimeamua kumtetea MTU ambaye analaumiwa bila sababu za msingi, nimejiuliza Hata kama Mimi ningekuwa ni yeye, ningefanya vile vile ambavyo amefanya
 
 
 
 
Yeah, Kwa hapa nimeamua kumtetea MTU ambaye analaumiwa bila sababu za msingi, nimejiuliza Hata kama Mimi ningekuwa ni yeye, ningefanya vile vile ambavyo amefanya

Sikufaham nje ya JF ila naomba ujue kwamba nakuheshimu sana, huenda tukatofautiana mitazamo au itikadi lakini sisi wote ni binadamu wenye utu licha ya kutumia ID ( Watu8 signature)

Nakushauri tu, mambo ya kutetea hawa wanasiasa itakupunguzia heshima na hadhi uliyonayo. Nilishakwambia, bora changudoa au malaya anaejiuza kuliko mwanasiasa.

Nikutakie siku njema mkuu!
 
ulikuwa ccm,ukatangaza humu kujiunga na chadema,akina zitto walipofukuzwa ukahama nao ukaenda ACT,leo hii anna na mkumbo wamerudi ccm na wewe ghafla umewafata...what a political whore!!!

Pumbavvvv sana huyo jamaa.Japo siasa na njaa ni kama tongotongo na macho lakini huyu njaa ipo pomoni.
 
unaumwa wewe...lini nilikuonyesha kadi ya chama..sina chama mimi wewe juha!!!
 
mkuu, nimekuelewa, na nitaufanyia kazi ushauri wako. Thanks!
 
wewe usie na njaa ni nini cha maana umefanya kwenye nchi hii ili angalau uwe mfano?

Ninalipa kodi kisha pumbavu wanazifuja bila kuwa na uchungu.Mimi ninamuwezesha hadi huyo mzandiki wako Polepole na ndio maana nakuwa mkali anapoharibu.Ebo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…