Hii ndio sababu ya PolePole kuamua kuwa kama alivyokuwa

Tuchukulie Mimi sifai na natakiwa kujirekebisha. Sasa. Kwa hiyo unataka ning'ang'anie kwenye chama chako hata kama kinatetea mambo yasiyo na maana? Kwano lengo LA vyama na kwa kwenye chama ni nini kwa mtizamo wako? Were chama chako ndio mungu wako hata ukiambiwa via nguo inavua? Wewe ni nini cha maana ulichofanya huko kwenye chama chako ambacho umekishika kama Dini yako? Najua hutajibu.Unafiki!
Tatizo lenu mmekeza Akili kwa Watu...wakihama nanyi mnahama
 
Kati ya hayo yote ulilokuna ni lipi alilofanikiiwa zaidi ya uchumia tumbo tu. Usicheze na ukweli kwani unaishi milele pasipo kufa
Kujaribu ni jambo moja na kufanikiwa ni jambo lingine, Anaejaribu asipofanikiwa Leo, atafanikiwa kesho. We we ni nini umeshajaribu na kufanikiwa, au ni miongoni mwa walalamikaji?
 
Pole pole alikuwa mjenga hoja mzuri sana, kijana mzalendo mwenye uchungu na nchi yake, mtu mwenye huruma na upendo kwa kila mtu na kijana kiongozi ambaye angeweza kumvutia kila mtu mstaarabu na mwenye maono.

Kijana pole pole hakusita kusimamia kile alichokiamini hata kama alikuwa anajiweka kwenye hatari alisimama peke yake. aliongea kweli yote daima, alipinga ufisadi na hila zote.

Polepole akaingia kwenye tume ya katiba, kwa uzalendo wake akaamua kusimamia rasimu ya wananchi na kuitetea kwa uwezo wake wote licha ya hatari zilizokuwa zinamkabili. Mara akaamua kuunda Umoja wa katiba ya wananchi akiwa kama muasisi wa wazo hilo - UKAWA kama movement ya kusaidia kupatikana katiba mpya na bora.

Mara kwa unafiki wetu, kuna watanzania wenzetu wakageuza UKAWA kama chama kinachotaka kushika dola na kuacha lengo la msingi lililoanzisha UKAWA. Mara yule ambaye Wapinzani waliwaaminisha watanzania kuwa ni fisadi mkuu (hata kumfanya Polepole naye aamini hivyo) akateuliwa na Huo ulioitwa ukawa ili apepepushe bendera na kupitia huo ukawa aingie ikulu.

Polepole akaonya na kuonya; ukweli na uwazi wa hoja za Polepole haukuwa na shaka ila kwa unafiki wetu tukamuita, msaliti, mchumia tumbo, mwenye sura mbaya asiyefahamika ni mzee au kijana. Hakuna aliesikia tena kuwa UKAWA ulilenga kuleta katiba mpya na sio kugombea madaraka na kuwasimamisha wale ambao UKAWA wenyewe ulidai ni mafisadi.Sio kwamba hatukujua lah! just unafiki tu.

Polepole akabaki peke yake na huzuni yake huku asiamini kilichokuwa kinatokea. Leo hii Pole pole kaamua kuachana na ishu za katiba na kumuunga mkono Rais Magufuli bila kujali nani anasema nini. Kaamua kufanya siasa tulizozizoea na tunazozitaka.

MAZINGIRA HUAMUA TABIA NA MIELEKEO YA WATU. KWA MTU ANAYEFIKIRI HAWEZI KUSHANGAA KWA NINI POLE POLE KAWA KAMA ALIVYO, NA TUKIENDELEA NA UNAFIKI TULIONAO, GREAT THINKERS WOTE NI LAZIMA WAWE KAMA POLEPOLE NA KUWALAUMU NI KUTOKUFIKIRI. MTU AKIWA MNAFIKI, NI LAZIMA UJIFUNZE KUISHI NAYE.
Hivi Pole pole bado anaamini katika serikali tatu? Na vp kuhusu katiba mpya ana msimamo gani leo? Je anasemaje kuhusu wakuu wa Wilaya kuendelea kuwepo kwenye katiba ya nchi?
 
Hata sasa naamini Polepole ni miongoni mwa vijana wazalendo na wenye uwezo mkubwa sana kifikra wenye nia ya kubadili nchi hii, kinachowanyanganya wengi ni kutokana na kubadilisha mbinu ili kufikia lengo baada ya kugungua alizungukwa na wanafiki wakuu.

Angesimamia alichoamini ningemsupport Polepole,tatizo NJAA nayo ni shida ,ikamchukua Polepole akawa HARAKAHARAKA!Polepole alishauzika UZALENDO,kwa sasa yeye ni CCM kwanza mengine baadaye.Ameshasahau kama alipiga vita wakuu wa wilaya na Mikoa,alipopewa ulaji akaufyata kabisa,leo anashindwa hata kuongea maana anaogopa kitumbua chake.

I wish Polepole angekataa appointment zote akabaki Polepole,alisema hata akibaki peke yake ataipigania RASIMU ya WARIOBA,leo ameishaipiga mtama siku nyingi hata kuitetea ameshindwa amebaki kutetea kitumbua chake.

Wachache tumesimama na UZALENDO wa kudai Katiba itakayompa MTANZANIA yeyote haki sawa sawa bila kujali Kabila,itikadi,dini au ukanda atokeao.

Tunahitaji Katiba itakayomuondolewa MADARAKA ya Kulevya Mkuu wa Kaya.

Kwa sasa ni RIP our Polepole Mzalendo,tunaye HARAKA HARAKA Mtetea Chama Cha Makinikia
 
Sasa tunakubaliana wa Ccm wanafiki, sasa wa vyama vingine nao sana sababu gani za msingi kutukana bungeni, halafu eti ndio mfano wa kuigwa. Hivi mlikuwa mnamtetea mdee wa nini, kwa nini msimwambie ukweli?
alokwambia mi mwanachadema nani? Sie kila mtu anapendaga hizi gutter politics za nchi hii. Usinihusishe tena na madudu ya siasa ya nchi. Mimi sio mwanasiasa.
 
alokwambia mi mwanachadema nani? Sie kila mtu anapendaga hizi gutter politics za nchi hii. Usinihusishe tena na madudu ya siasa ya nchi. Mimi sio mwanasiasa.
Kwa mantiki hiyo pia huna naoni kuhusu muelekeo wa Tanzania
 
Hata sasa naamini Polepole ni miongoni mwa vijana wazalendo na wenye uwezo mkubwa sana kifikra wenye nia ya kubadili nchi hii, kinachowanyanganya wengi ni kutokana na kubadilisha mbinu ili kufikia lengo baada ya kugungua alizungukwa na wanafiki wakuu.
Sahihi mkuu Polepole watu wenye akili za juujuu hawawezi kumwelewa.Muda tulionao hautuambii kushughulikia katiba mpya chini ya JPM ambaye anapaswa kuitumia iliyopo ili inyooke.

Wakati wa JK alipaswa kuipigia kapeni katiba ya Warioba kutoka na hali iliyokuwa inaikabili nchi hili halina ubishi.

Kingine kiumuhimu kwa sasa katiba mpya si muhimu kama ilivyo kushughulikia majizi ya rasilimali zetu,kughulikia mikataba ya madini,uboreshaji wa huduma za jamii,kuimarisha uchumi ambao ulishafikia umaututi na mengineyo mengi.
MY TAKE, MH JPM NA TIMU YAKE WANAHITAJI KATIBA YA MWAKA 1977 KWANI NDIO INAYOFAA KUIRUDISHA NCHI HII KATIKA MSTARI
 
Ndio maana akaonesha hekma sake kuanzisha ukawa na mlivyoleta unafiki akawaacha kama mlivyo

Mkuu kumtetea mwanasiasa ni kazi ngumu mno. Ndio maana sina chama cha siasa wala timu ya kushabikia mpira. Siasa ni afadhali ya ukahaba.
 
Pole pole alikuwa mjenga hoja mzuri sana, kijana mzalendo mwenye uchungu na nchi yake, mtu mwenye huruma na upendo kwa kila mtu na kijana kiongozi ambaye angeweza kumvutia kila mtu mstaarabu na mwenye maono.

Kijana pole pole hakusita kusimamia kile alichokiamini hata kama alikuwa anajiweka kwenye hatari alisimama peke yake. aliongea kweli yote daima, alipinga ufisadi na hila zote.

Polepole akaingia kwenye tume ya katiba, kwa uzalendo wake akaamua kusimamia rasimu ya wananchi na kuitetea kwa uwezo wake wote licha ya hatari zilizokuwa zinamkabili. Mara akaamua kuunda Umoja wa katiba ya wananchi akiwa kama muasisi wa wazo hilo - UKAWA kama movement ya kusaidia kupatikana katiba mpya na bora.

Mara kwa unafiki wetu, kuna watanzania wenzetu wakageuza UKAWA kama chama kinachotaka kushika dola na kuacha lengo la msingi lililoanzisha UKAWA. Mara yule ambaye Wapinzani waliwaaminisha watanzania kuwa ni fisadi mkuu (hata kumfanya Polepole naye aamini hivyo) akateuliwa na Huo ulioitwa ukawa ili apepepushe bendera na kupitia huo ukawa aingie ikulu.

Polepole akaonya na kuonya; ukweli na uwazi wa hoja za Polepole haukuwa na shaka ila kwa unafiki wetu tukamuita, msaliti, mchumia tumbo, mwenye sura mbaya asiyefahamika ni mzee au kijana. Hakuna aliesikia tena kuwa UKAWA ulilenga kuleta katiba mpya na sio kugombea madaraka na kuwasimamisha wale ambao UKAWA wenyewe ulidai ni mafisadi.Sio kwamba hatukujua lah! just unafiki tu.

Polepole akabaki peke yake na huzuni yake huku asiamini kilichokuwa kinatokea. Leo hii Pole pole kaamua kuachana na ishu za katiba na kumuunga mkono Rais Magufuli bila kujali nani anasema nini. Kaamua kufanya siasa tulizozizoea na tunazozitaka.

MAZINGIRA HUAMUA TABIA NA MIELEKEO YA WATU. KWA MTU ANAYEFIKIRI HAWEZI KUSHANGAA KWA NINI POLE POLE KAWA KAMA ALIVYO, NA TUKIENDELEA NA UNAFIKI TULIONAO, GREAT THINKERS WOTE NI LAZIMA WAWE KAMA POLEPOLE NA KUWALAUMU NI KUTOKUFIKIRI. MTU AKIWA MNAFIKI, NI LAZIMA UJIFUNZE KUISHI NAYE.

Mhu! Kaamua mwenyewe tu. Kwani wewe uko ulivyo kwa sababu ya nani? Na una uhakika gani kwamba unafiki wetu ndio umemfanya mtu makini awe kama sisi? Labda kama wewe mwenyewe ndiye umemfanya awe kama alivyo.
 
Back
Top Bottom