chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,118
- 22,506
Hata mimi huwez kunizomea na kunitukana af kesho nikutengee bajeti unenepe, utajisifu sana....unitukane alaf nikuletee vitu vinono ๐๐๐๐.....Hata Mungu ukimtukana na kumzomea na kutomchagua kuwa kiongozi wa maisha yako usitegemee atakuletea maendeleo utapambana na hali yako mpak pale utakapomchagua...ni katka siasa tu hili linalazimishwa kutokea lakn mwsho wa siku wanagonga ukuta make hamna application ya kitu kama hcho popote pale...
Kwahiyo Mbeya nzima walimzomea??
Mbeya hamna CCM?