Hii ndio pumzi ya mwisho ya CCM

Hii ndio pumzi ya mwisho ya CCM

daniel merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
277
Reaction score
98
Mara baada ya vyama vikubwa vya upinzani nchini nikimaanisha NCCR,CUF na CHADEMA kuonyesha nia kuungana na kuwa kitu kimoja baada ya mchakato wa katiba mpya kuanza imeonekana ni KITANZI kwa chama cha mafisadi CCM.

Kinachoonesha kwamba hii ndio pumzi ya ccm kuwa madarakani baada ya hivi vyama kuungana, LEO kwenye vichwa vya magazeti ya jamboleo,habari leo na uhuru wamekuja na CD ya kitoto kweli eti wanasema gari la MBOWE lakamatwa kenya likihusishwa na ugaidi. HIVI kweli haya magazeti wahalili wake sio mateja kweli?

Hiki kinachofanywa na haya magazeti ya chama cha mateja,mafisadi na wezi wa mali ya umma ni harakati za kutaka hivi vyama visiungane na visambaratike. kwa kuanzisha vihoja vya kipumbavu eti gari la mbowe linahusika na ugaidi kenya.
lakini ninajua hizi hila za kitoto haziwezi kukesha kama ilivyo ngoma ya watoto

UKAWA kazeni buti kwa sababu hii ni saa ya ukombozi
 
Asante kwa taarifa ..ccm ni kichaka kilichokauka kipigwe kiberiti sasa.
 
mara baada ya vyama vikubwa vya upinzani nchini nikimaanisha nccr,cuf na chadema kuonyesha nia kuungana na kuwa kitu kimoja baada ya mchakato wa katiba mpya kuanza imeonekana ni kitanzi kwa chama cha mafisadi ccm.

Kinachoonesha kwamba hii ndio pumzi ya ccm kuwa madarakani baada ya hivi vyama kuungana, leo kwenye vichwa vya magazeti ya jamboleo,habari leo na uhuru wamekuja na cd ya kitoto kweli eti wanasema gari la mbowe lakamatwa kenya likihusishwa na ugaidi. Hivi kweli haya magazeti wahalili wake sio mateja kweli?

Hiki kinachofanywa na haya magazeti ya chama cha mateja,mafisadi na wezi wa mali ya umma ni harakati za kutaka hivi vyama visiungane na visambaratike. Kwa kuanzisha vihoja vya kipumbavu eti gari la mbowe linahusika na ugaidi kenya.
Lakini ninajua hizi hila za kitoto haziwezi kukesha kama ilivyo ngoma ya watoto

ukawa kazeni buti kwa sababu hii ni saa ya ukombozi

haya tusubiri tuone.
 
Hawajui Watanzania wanaelewa. Wananikumbusha enzi za poyoyo!!! Ama kweli miti ikianza kuteleza hata magimbi huonekana ni miti mireefu. aaah aaah aaah
 
Mbona hawasemi kama wamejaribu ku balance story kwa kumhoji mh. Mbowe kwa njia yeyote ile?. Ikija thibitishwa kuwa uzushi ni aibu ya mwaka!!!!!.
 
kwa hiyo ulitaka yasiandikeeeeeeee, wewe ulitaka je labda, kunywa sumu au meza wembe lkn habari ndiyo hiyo.
 
ccm kuukandamiza upinzani ni sawa na kujichimbia kaburi. ccm wajipime matendo yao ya kutumia polisi na jeshi kutisha wapinzani na wananchi kwaujumla wajue siku sio nyingi hao polisi na jeshi watakuwa chini ya utawala mpya wakati huo ccm imeng'olewa madarakani ccm kimekuwa cha upinzani. wasizani kwamba wataondoka madarakani na polisi na wanajeshi. Hapa ndipo ccm italia kwa chozi la damu na kusaga meno.
 
unatumia kodi ya wananchi kwenda kula starehe mombasa,
 
ccm kuukandamiza upinzani ni sawa na kujichimbia kaburi. Ccm wajipime matendo yao ya kutumia polisi na jeshi kutisha wapinzani na wananchi kwaujumla wajue siku sio nyingi hao polisi na jeshi watakuwa chini ya utawala mpya wakati huo ccm imeng'olewa madarakani ccm kimekuwa cha upinzani. Wasizani kwamba wataondoka madarakani na polisi na wanajeshi. Hapa ndipo ccm italia kwa chozi la damu na kusaga meno.

nje ya mada, tatizo kwenda kula starehe na gari la serikali ni sawaaaaa, kwanza amewekewa mafuta
 
UKAWA wawe makini, ccm na maadui wengine wanafanya kila mbinu kutaka kuwasambaratisha!

wala si watu wengine wala ccm....baada ya miezi si zaidi ya 12 kuanzia sasa kutakuwa vuguvugu la uchaguzi mkuu 2015, kuchukua forms na kurudisha. Ndipo tutatjua ikiwa UKAWA ni umoja thabiti.
 
ukawa watasambaratika kutokana na uroho wao wa madaraka. Msije kuisingizia ccm

mkuu umenena, kwanza watasarambatikia pabaya sana kwani utakuwa wakati wa kura za maoni. Alafu kwenye hiyo changanyikeni ccm itakuwa imejaza watu kibao, tusibiri hii move itakavyokuwa
 
Hata hivyo hawatafanikiwa kutokana na uroho wa pesa walio nao hasa hawa ndugu zangu wa meru.
 
afadhali anayeenda kula mombasa,je anayezunguka dunia nzima kutapanya hizo kodi utasemaje?

anayeenda dunia nzima haendi kwa kificho mkuu, kwanza wananchi wanapata taarifa za kusafiri kwakwe, na anaenda kwa lengo gani na matumizi ya safari yake ukitaka unapewa?? sasa huyu sio hivyo
 
CCM wanapita katika kipindi kigumu sana katika historia ya siasa za nchi hii. Kinachotakiwa ni kwa vyama vyetu vya upinzani kutambua hila na njama zote zinazoweza kupikwa na ccm kwa lengo la kuwagawa na kuwasambaratisha kwasbb hiyo ndo njia pekee itakayowanusuru wao ccm kuingia katika kaburi ambalo tayari UKAWA wamelichimba.
CCM wameanza kuuona mwisho wao, kupapatika ni lazima!
 
UKAWA watasambaratika kutokana na uroho wao wa madaraka. Msije kuisingizia CCM

Kuna waroho zaidi ya walioifukarisha hii nchi?

Hebu tazama hawa ni watanzania wenzako,huna hata haya,eti UKAWA wana uroho, watawashinda hao waliowafanya hawa binadamu wenzako wawe hivi?

images
images
images


Hebu tazama hawa wanafunzi hapa chini

images
images
images


Na mlaaniwe nyote mlioifanya hivi hii nchi!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom