Hii ndio pumzi ya mwisho ya CCM

Hii ndio pumzi ya mwisho ya CCM

Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Kama umoja huu ni wa kweli, na tamaa za madaraka zikawekwa pembeni basi CCM wana wakati mgumu sana.

Bila shaka CCM wanatafuta mbinu mbadala ya kuuvunja muungano huu haraka sana na bila shaka watatumia watu ama viongozi ndani ya UKAWA kuvuruga na kuuvunja umoja huo.

Pesa ilimuuza Yesu, CCM wana pesa ya kutisha, ninapata mashaka kama umoja huu utadumu kwa muda mrefu. Kila binadamu ana bei yake, viongozi wa UKAWA wakifika bei watauvuruga umoja huo.
 
akili za magamba zimekodishwa, hadi zirudishwe itakuwa kazi,
 
unatumia kodi ya wananchi kwenda kula starehe mombasa,

Hata mimi namshangaa sana, anaenda hapo Mombasa tu yaani hata Mwigulu anamshinda??
Inatakiwa ale starehe kama Mwenyekiti wetu, dunia nzima anatafuna starehe kila mahali kila siku yuko huko Europe, Asia, America eeeh.
Hichi kijamaa kinaenda hapo Mombasa tu, nimemshangaa sana.
 
taarifa za kiuchunguzi zinadokeza kwamba hivyo vijarida vyote ulivyovitaja kwa zaidi ya mwaka vinaendeshwa kwa hasara kubwa sana , havinunuliwi ! TUNAWASHUKURU SANA WANANCHI KWA KUHAKIKISHA VIGAZETI UCHWARA VINAKUFA .
 
Kuna waroho zaidi ya walioifukarisha hii nchi?

Hebu tazama hawa ni watanzania wenzako,huna hata haya,eti UKAWA wana uroho, watawashinda hao waliowafanya hawa binadamu wenzako wawe hivi?

images
images
images

Hebu tazama hawa wanafunzi hapa chini

images
images
images

Na mlaaniwe nyote mlioifanya hivi hii nchi!!!!!!!!!!

MJOMBA PICHA HIZI ZIMENITOA MACHOZI ! hIVI CCM IMETUFANYIA UNYAMA HUU KWA KOSA GANI HASA ?
 
Mara baada ya vyama vikubwa vya upinzani nchini nikimaanisha NCCR,CUF na CHADEMA kuonyesha nia kuungana na kuwa kitu kimoja baada ya mchakato wa katiba mpya kuanza imeonekana ni KITANZI kwa chama cha mafisadi CCM.

Kinachoonesha kwamba hii ndio pumzi ya ccm kuwa madarakani baada ya hivi vyama kuungana, LEO kwenye vichwa vya magazeti ya jamboleo,habari leo na uhuru wamekuja na CD ya kitoto kweli eti wanasema gari la MBOWE lakamatwa kenya likihusishwa na ugaidi. HIVI kweli haya magazeti wahalili wake sio mateja kweli?

Hiki kinachofanywa na haya magazeti ya chama cha mateja,mafisadi na wezi wa mali ya umma ni harakati za kutaka hivi vyama visiungane na visambaratike. kwa kuanzisha vihoja vya kipumbavu eti gari la mbowe linahusika na ugaidi kenya.
lakini ninajua hizi hila za kitoto haziwezi kukesha kama ilivyo ngoma ya watoto

UKAWA kazeni buti kwa sababu hii ni saa ya ukombozi

NITAIDHARAU SANA KENYA kama ITAKUBALI KUTUMIWA NA CCM !
 
Kuna waroho zaidi ya walioifukarisha hii nchi?

Hebu tazama hawa ni watanzania wenzako,huna hata haya,eti UKAWA wana uroho, watawashinda hao waliowafanya hawa binadamu wenzako wawe hivi?

images
images
images

Hebu tazama hawa wanafunzi hapa chini

images
images
images

Na mlaaniwe nyote mlioifanya hivi hii nchi!!!!!!!!!!

Halafu kuna watu wanakazana kujisifu ya kuwa ccm imefanya mengi. Kweli miaka 52 karibu na nusu ya Uhuru wa Tanganyika bado kuna wananchi wanaishi maisha kama haya, wakati viongozi wanatanua kwenye mahekalu, wanazunguka nchi nzima na ma VX ya mamilioni, kila kukicha wako nje ya nchi, wanazidi kuwanyonya wananchi hao hao waliowapa wao ridhaa ya uongozi na kuwahonga kwa ahadi hewa? Ole wao wote wanaoshirikiana na mafisadi kuendelea kuwadhalilisha wananchi, ukombozi uko karibu!

Ee Mungu Ulie Hai sikia kilio cha watu wako!
 
ccm kuukandamiza upinzani ni sawa na kujichimbia kaburi. ccm wajipime matendo yao ya kutumia polisi na jeshi kutisha wapinzani na wananchi kwaujumla wajue siku sio nyingi hao polisi na jeshi watakuwa chini ya utawala mpya wakati huo ccm imeng'olewa madarakani ccm kimekuwa cha upinzani. wasizani kwamba wataondoka madarakani na polisi na wanajeshi. Hapa ndipo ccm italia kwa chozi la damu na kusaga meno.

CCM huwa ni hao viongozi tu. by the way wengi wao watahamia upinzani mambo yakiwa magumu. kwa hiyo itafutika kam kanu na tanzania itaumbwa vipya.
 
Mara baada ya vyama vikubwa vya upinzani nchini nikimaanisha NCCR,CUF na CHADEMA kuonyesha nia kuungana na kuwa kitu kimoja baada ya mchakato wa katiba mpya kuanza imeonekana ni KITANZI kwa chama cha mafisadi CCM.

Kinachoonesha kwamba hii ndio pumzi ya ccm kuwa madarakani baada ya hivi vyama kuungana, LEO kwenye vichwa vya magazeti ya jamboleo,habari leo na uhuru wamekuja na CD ya kitoto kweli eti wanasema gari la MBOWE lakamatwa kenya likihusishwa na ugaidi. HIVI kweli haya magazeti wahalili wake sio mateja kweli?

Hiki kinachofanywa na haya magazeti ya chama cha mateja,mafisadi na wezi wa mali ya umma ni harakati za kutaka hivi vyama visiungane na visambaratike. kwa kuanzisha vihoja vya kipumbavu eti gari la mbowe linahusika na ugaidi kenya.
lakini ninajua hizi hila za kitoto haziwezi kukesha kama ilivyo ngoma ya watoto

UKAWA kazeni buti kwa sababu hii ni saa ya ukombozi

Mueheshimiwa daniel merengo;

Nakubaliana na wewe kwa 100 pc. Nimewahi kuchangia na kusema kuwa UKAWA ni maji marefu kwa CCM. Muungano huu ambao Watanzania tumeusubiri kwa miaka zaidi ya 20 sasa hatimaye umekuja. Mimi nasema na nitasema tena na tena kama UKAWA hawatatumiwa na CCM wakaanza kufarakana kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe na hakuna wa kuwazuia.

CCM wameingia choo cha kike, lazima mwaka kesho wahame Ikulu wakajiandae na upinzani wa kuendelea kupinga Serikali 3. Kwa akili ya CCM wanafikiri kung'ang'ania Serikali 2 ni deal ya kuendelea kuwabakiza Ikulu kumbe ni Kifo kwao. CCM wanatakiwa kujua kuwa mfumo wa Serikali 2 kwa miaka hii 50 umeshindwa lazima kuja na mfumo mbadala ambao ni Serikali 3. Kuna mazuri kwenye Serikali 2 tutaenda nayo kwenye Serikali 3 hatujakataa. Lakini kusema watu waendelee na 2 ni kudanganyana!

UKAWA FORMULA: 3 X 3 + 3 - 3 ÷ 3 =3

HAPA NI MWENDO WA TATU TATU TU!!
 
Halafu kuna watu wanakazana kujisifu ya kuwa ccm imefanya mengi. Kweli miaka 52 karibu na nusu ya Uhuru wa Tanganyika bado kuna wananchi wanaishi maisha kama haya, wakati viongozi wanatanua kwenye mahekalu, wanazunguka nchi nzima na ma VX ya mamilioni, kila kukicha wako nje ya nchi, wanazidi kuwanyonya wananchi hao hao waliowapa wao ridhaa ya uongozi na kuwahonga kwa ahadi hewa? Ole wao wote wanaoshirikiana na mafisadi kuendelea kuwadhalilisha wananchi, ukombozi uko karibu!

Ee Mungu Ulie Hai sikia kilio cha watu wako!

MKUU WE ACHA TU
Hawa watu ni kama vile hawana ubinadamu!
 
Hata hivyo hawatafanikiwa kutokana na uroho wa pesa walio nao hasa hawa ndugu zangu wa meru.

Sasa wenye uroho wapesa ni nani?Anayeuza Wanyama wetu,Kuua Tembo,Raslimali zetu kuuzwa kwa bei poa kwa minajili ya rushwa kubwa,watoa rushwa nyakati za kugombea nafasi hata kwenye vyama vyao,wanaoondoa hata UWAJIBIKAJI,UADILIFU na UWAZI kwenye katiba au huyu asiye hata na sauti kwa wawekezaji-UKAWA?Kuwa mzalendo tetea Taifa lako.
 
Kuna waroho zaidi ya walioifukarisha hii nchi?

Hebu tazama hawa ni watanzania wenzako,huna hata haya,eti UKAWA wana uroho, watawashinda hao waliowafanya hawa binadamu wenzako wawe hivi?

images
images
images

Hebu tazama hawa wanafunzi hapa chini

images
images
images

Na mlaaniwe nyote mlioifanya hivi hii nchi!!!!!!!!!!

Je huu umasikini na ufkara uliopindukia umesababishwa na SERIKALI 3 ????Jibu ni HAPANA!

Umaskini na ufukura wote huu umesababishwa na UTAWALA WA HUU HUU WA SERIKALI 2 ZA CCM. Sasa CCM wanaposema Serikali 3 ni kuongeza gharama na hivo watashindwa kupeleka huduma muhimu kama barabara, shule,zahanati, maji na umeme wanataka kumdanganya nani asiyeijua Tanzania?? CCM wawe wakweli waache unafiki. Tunajua dawa yao iko jikoni inatokota al-maarfu UKAWA. Hii itakuwa dozi kali na ya mwisho ambayo CCM na Serikali yao walikuwa hawajawahi kuipata.

Tusubiri.
 
umepiga nyoka kichwani !
 
Hawa binadamu wanaoitwa CCM wana roho ya ajabu sana!!!!!!
 
MJOMBA PICHA HIZI ZIMENITOA MACHOZI ! hIVI CCM IMETUFANYIA UNYAMA HUU KWA KOSA GANI HASA ?

Tshirt ,kofia,mashati,kangha,za saree kwenye mkutano mmoja wa ccm .unatosha kubadilisha vijiji 6 vyenye hali ya picha hizi angalau kuwa ya kawaida ,lakini wapi ccm inajali matumbo yao yazidi kujaa kwakuwepo madarakani basi .ccm imnatia aibu
 
Back
Top Bottom