Hii ndio operation red wing 28.05.2005

Dah hii movie inasikitisha ..kila kiiangaliaga kuna baadhi ya scenes huwa na forward aseeeeeee
 
Reactions: SDG
Lone Survivor
Sikua najua kama inaitwa hilo jina,sasa nimeisaka hapa hadi pale kwenye battle linapoanza ndo nimeikumbuka barabara,ukweli kwenye hii movie zimepigwa risasi humu za hatar,watu wamepasuana sana, watalibani wale ni hatar sana
 
Mkuu naipataje kutoka kwako?
 
Reactions: SDG
I admire positive people like you,keep it up.
 
Hii movie na ile ya 13 hrs in Benghazi hatari sana
 
Reactions: SDG
TE="Jile79, post: 21330733, member: 16259"]Kwa hiyo wataleban walikufa wangapi naona umeegamia upande wa US tu[/QUOTE]
Swal lako litajibiwa kwenye sehemu ya pili...stay tuned
 
Boonge la story Umenipa mwanga hiyo movie 'Lone Survival'Nilikuwa nayo kiukweli sikuipenda maana sikuelewa mpaka Nikaifuta but leo Nimejua kisa chake.
Umeidownload wapi aisee?
 
Battle Master Plan hakufanya utafiti wa kutosha. Kasababisha vifo vya komandoo 18.
 
Kijana umenipa story tamu sana. Ngoja nikanywe beer sasa maana leo sisi walaji beer na Plato tunampongeza sana aligundua beer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…