The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,457
Wakuu kwema,
Asikuambie mtu hakuna njia ya kumpata mwanamke ya kirahisi kama kumpa hela na kumnunulia zawadi kwa kipindi cha mwanzo wa mahusiano.
Fanya hivi unamtamani kuwa na mwanamke mrembo jitahidi saana kipindi cha mwanzo uwe una mjali sana yaani uwe unampa pesa na muda wako hili ni muhimu sana, na vizawadi vidogo vidogo na outing moja moja, fanya hivi kwa mda wa mwezi mmoja au miwili tuu alafu acha kumpa.
Kwanini mwanamke anavutiwa na anachokiona. Ila baada ya mda kama miezi miwili kausha usiwe unampa tena hela. Unakua unampiga tuu kiswahili, hapa ndo ataanza kuteseka yeye.