Hata hapa hakuna tofauti .
Hatuchekani.
Mwinyi Rais wa Zanzibar, Rais wa Tanzania.
Mwinyi Jnr Rais wa Zanzibar,.......
Karume Rais wa Zanzibar,
Karume Jnr Rais wa Zanzibar.
Kikwete Rais wa Tanzania.
Mrs Kikwete Mbunge.
Kikwete jnr Mbunge.
Wengineo kama kawawa,Pinda, na wengineo.
Watoto wao wamejaa taasisi zote zenye mishahara minono, wizarani, taasisi nyeti na channel zote za pesa ni zao.