Wachache sana wanasaidia kwa moyo wengi wanataka kutajirika kupitia wewe! Haijalishia utapiga hatua au utabaki palepale!Msimbazi na mchikichini urembo wa wadada Leo hii naagiza kamzigo sio kingi ila mdogomdogo kutoka China Kuna watu wanaroho nzur za kusaidia wengine inshallah Mungu azid kuwaongezea
HakikaWachache sana wanasaidia kwa moyo wengi wanataka kutajirika kupitia wewe! Haijalishia utapiga hatua au utabaki palepale!
Mkuu ni biashara inayolipa sana ,muhimu wekeza zaidi kwenye kujua product na sehemu zinapopatikana, hii biashara ukishaweza kuwa na taarifa za kutosha, mananikio yako hayako mbaliNataka nifanye hii biashara tena dodoma God bless hustler wote
True hii thread yako imeniongezea kitu mimi namiliki taasisi ya construction sema kwa sasa hailipiMkuu ni biashara inayolipa sana ,muhimu wekeza zaidi kwenye kujua product na sehemu zinapopatikana, hii biashara ukishaweza kuwa na taarifa za kutosha, mananikio yako hayako mbali
Ni kweli kabisa. Zamani contractor alikuwa anapata faida kwenye vitu viwili; labor na materials. Ukipewa tender ulikuwa una-quote package nzima, hivyo margin ya materials ilikuwa sehemu kubwa ya profit.True hii thread yako imeniongezea kitu mimi namiliki taasisi ya construction sema kwa sasa hailipi
NaamNi kweli kabisa. Zamani contractor alikuwa anapata faida kwenye vitu viwili; labor na materials. Ukipewa tender ulikuwa una-quote package nzima, hivyo margin ya materials ilikuwa sehemu kubwa ya profit.
Siku hizi hali imebadilika. Wateja wengi, hasa kampuni za construction, wananunua materials wenyewe moja kwa moja kwa supplier ili kupunguza gharama. Contractor unabaki una-quote labor pekee, ambayo margin yake ni ndogo na ushindani wake ni mkubwa.
Mitandao na upatikanaji wa taarifa umeongeza uwazi wa bei za materials, hivyo ile nafasi ya kuongeza margin kama zamani imepungua sana.
Kwa sasa, ukitaka construction company ikuletee faida nzuri, ni muhimu uwe na biashara nyingine inayoi-support, kama hardware. Ukiweza hata kuagiza materials moja kwa moja kutoka China, unakuwa na advantage kubwa. Ikitokea tender inayohitaji u-quote materials na labor kwa pamoja, unaweza kutoa bei ya ushindani lakini bado ukapata faida kubwa kupitia margin ya materials. Walioliona hili mapema ndiyo wanaonekana kufanya vizuri zaidi kwenye soko la sasa.
Tatizo wengi tunaangukia katika mikono ya wachoyo wa taarifa hivyo mikwamo inakuwa mingi sana. Chimbo la kugusa na kutembea ukiwa na watu sahihi na mtaji anzilishi.Mkuu kariakoo kwa ujumla ukiweza kui study kuna fursa nyingi mnoo,
Mkuu kwa duka la kueleweka mtaji uwe kiasi gani?Mkuu ni biashara inayolipa sana ,muhimu wekeza zaidi kwenye kujua product na sehemu zinapopatikana, hii biashara ukishaweza kuwa na taarifa za kutosha, mananikio yako hayako mbali
Hivi mkuu kwa mtazamo wako na uzoefu wako kati ya biashara ya urembo na biashara ya vipodozi ipi yenye faida kubwa ?Msimbazi na mchikichini urembo wa wadada Leo hii naagiza kamzigo sio kingi ila mdogomdogo kutoka China Kuna watu wanaroho nzur za kusaidia wengine inshallah Mungu azid kuwaongezea