Hii ndio massage Iliyomchekesha waifu leo mpaka nimesikia raha!

ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
998
742
nilimwandikia waifu massage asbuhi sana, nimetoka tu kwenda kazini, na yeye anaelekea upande mwingine wa mji kazini.
ni copy and paste massage ni hizi hapa
##....siku ile tulivoenda kijijini tukapikiwa ugali mkubwa wa dona na jogoo wa kienyeji anayekaribia kuwika aliyeungwa chumvi tu, tukala tukashiba, mama akachemsha maji tukaenda kuoga porini karibia watu watuone, tulijisahau tukaanza kula tamutamu chapuchapu, nakumbuka kulikuwa na mbalamwezi!!!
##tulienda kulala baada ya story nzito nzito toka kwa babu, sasa kakitanda kadogo, net fupi imetobokatoboka, ukashauri tulale kwa kubebana au ubavu ubavu, ghafla usingizi fuuuu mara tukaamka, tulianza kula tamutamu mpaka asbuhi mionzi ya jua Ilitushtua kwa kuwa nyumba ya udongo ilikuwa na mapengo mapengo.
##babu alikuja kutuamsha nakumbuka akaniita ANKO...ANKOJEI....kumekucha njoo nisaidie kukamata jogoo wa Lunch, ghafla tulianza kumfukuza jogoo wa lunch, mpaka ulikuja kumkamatia sehemu ile tulipokuwa tunaoga usiku porini.

Basi nasikia my waifu amecheka sana uko kazini mpaka ametoka nje, JARIBU NA WEWE KUMCHEKESHA MKEO/MPENZI WAKO LEO UNAWEZA PATA BONUS NIGHT.
 
Duuuu ..Kazi kweli kweli ..utoto ukizidi nalo ni balaa.....
Anyway labda ndio kuwa creative kwenyewe
 
wewe huna kicheko? sasa siku zoote za ndoa yako leo ndo umeweza kucheklesha mkeo? . mpaka ofisi yake imekusimulia kuwa mkeo leo kacheka sana. ukirudi umwulize mkeo kuwa huko ofisini anafanyaje kazi? maana inaonekana mkeo kwake kicheko ni adimu sana
 
nilimwandikia waifu massage asbuhi sana, nimetoka tu kwenda kazini, na yeye anaelekea upande mwingine wa mji kazini.
ni copy and paste massage ni hizi hapa
##....siku ile tulivoenda kijijini tukapikiwa ugali mkubwa wa dona na jogoo wa kienyeji anayekaribia kuwika aliyeungwa chumvi tu, tukala tukashiba, mama akachemsha maji tukaenda kuoga porini karibia watu watuone, tulijisahau tukaanza kula tamutamu chapuchapu, nakumbuka kulikuwa na mbalamwezi!!!
##tulienda kulala baada ya story nzito nzito toka kwa babu, sasa kakitanda kadogo, net fupi imetobokatoboka, ukashauri tulale kwa kubebana au ubavu ubavu, ghafla usingizi fuuuu mara tukaamka, tulianza kula tamutamu mpaka asbuhi mionzi ya jua Ilitushtua kwa kuwa nyumba ya udongo ilikuwa na mapengo mapengo.
##babu alikuja kutuamsha nakumbuka akaniita ANKO...ANKOJEI....kumekucha njoo nisaidie kukamata jogoo wa Lunch, ghafla tulianza kumfukuza jogoo wa lunch, mpaka ulikuja kumkamatia sehemu ile tulipokuwa tunaoga usiku porini.

Basi nasikia my waifu amecheka sana uko kazini mpaka ametoka nje, JARIBU NA WEWE KUMCHEKESHA MKEO/MPENZI WAKO LEO UNAWEZA PATA BONUS NIGHT.

Kwa mhusika atakuwa amecheka sana maana itakuwa imemkumbusha mbali, ila kwa mwingine anaweza asione umaana wa hii story. Kwa jinsi ulivyosema nahisi maeno utokayo yatakuwa aidha, Tanga, Pwani, Dsm, Tabora au Kigoma maana ndiyo wana utamaduni wa kujenga kwa miti.
 
mbona mmemshambulia sana mwenzenu?
pole mwaya....lakin wenzako wanachekesha wake zao daily.....AU ULITAKA KUSEMA LEO UMEMKUMBUSHA MKEO MATUKIO YA SAFAR YENU YA KIJIJIN ENZI ZILE?...

nice stor nways
 
Heheheeeeeeeeeee
wewe huna kicheko? Sasa siku zoote za ndoa yako leo ndo umeweza kucheklesha mkeo? . Mpaka ofisi yake imekusimulia kuwa mkeo leo kacheka sana. Ukirudi umwulize mkeo kuwa huko ofisini anafanyaje kazi? Maana inaonekana mkeo kwake kicheko ni adimu sana
 
Sio story haki tena
mbona mmemshambulia sana mwenzenu?
Pole mwaya....lakin wenzako wanachekesha wake zao daily.....au ulitaka kusema leo umemkumbusha mkeo matukio ya safar yenu ya kijijin enzi zile?...

Nice stor nways
 
mbona mmemshambulia sana mwenzenu?
pole mwaya....lakin wenzako wanachekesha wake zao daily.....AU ULITAKA KUSEMA LEO UMEMKUMBUSHA MKEO MATUKIO YA SAFAR YENU YA KIJIJIN ENZI ZILE?...

nice stor nways

Sio wote Rose...
Kuna nyumba nyingi tu mazungumzo kati ya mke na mme yamekaa kijesh jesh. Ukiwaona kwenye gari utadhani askari magereza anampeleka mtuhumiwa mahakamani...
 
Rose1980 GT anapaswa kutumia maneno sahihi ili isipatikane maana nyingine tofauti na aliyoikusudia.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom