Hii ndio Kanda ya Kaskazini

Kanda hii hakuna kitu kinachukiwa kama chama cha mapinduzi yanii kuna watu huku wanaamini kabisa CCM ni alama ya umasikini na ujinga Sijui kwanini!??Yani ukiwa ccm wanakuona Wewe ni Madifi ( muulize mchaga madifi ni nini)
 
Kuwa kwa system hakuondoi u maskini ka jamii yako ni wavivu, ukitegemea kubebwa hufiki, ukafanya kazi kwa bidii unatoka kabisa hafu mikoa hyo hujituma biashara halali, na haramu, ubepari waongoza dunia sasa ukisubiria ujamaa na favor akili inalala.
Nani alie kwambia wasukuma ni wavivu? Kwa taarifa yako msukuma ndio anaweza kuwa mtu mwenye pesa zaidi ya makabila yote, usukumani kuna diamond, dhahabu, ng'mbe, mbuzi, mchele nk.Fanya tathmini pembuzi ndugu.huko uchagani kuna nini zaidi ya ndizi na kahaw na mlima kmnjr, hivi kuna kijana wa kitanzania anaewaza akatafute maisha moshi?sijawahi muona ila wachaga tu kukimbia kwao mnaongoza mkifuatiw na wamakonde japo wana ardhi kubw.Ukweli ni kwamba moshi hakuna rasilimali chochevu kama mkoa wa mby, Morogoro, Njombe, Rukwa, pwani nk.Hata miundombinu iliojwngw huko imejengwa na serikali unasifia utazani wewe ni mkenya, kikwete alileta mfumo wa kiwaondoa katika kujipendelea kielimu, shule za kata zimekata mzizi wa fitina na takwimu zinaonesha wasukuma ndio wengi vyuoni kuliko makabila yote, miaka kumi inayo watatawala kila sekta na wengi wao husoma zaidi sayansi kwa sababu wanaakili kuliko wachaga.
 
Ukisikia madini; yaani almasi, dhahabu umeongelea lake zone. Thamani ya hivi vitu kama vingetumika kikamilifu hiyo kanda ya ziwa na Tanzania kiujumla tungekua mbali zaidi ya unavyo weza fikiria. Hapo nimeongelea madini tu tafadhali.
 
Bless, itafika wakati watu wa kanda ya ziwa tutaizunguka Tanzania yote, tutajazana sekta zote zilizopo nchini kiufupi namaanisha, maamuzi kwenye kupiga kura yatategemea kanda ya ziwa kutokana na wingi wetu.
 
Hahahah eti wanasoma sana
Mtu anagraduate hata barua ya kingereza hawez andika
Ahahahah wamezoea kuchunga
Asili haibadiliki kamwe
Hahahah
 
Mkuu Umegusa Kila Angle.. Wacha Niongezee Kidogo..
Watu wa Kaskazini tumebarikiwa sana ila sasa Naona tunaingiza ubaguzi Mkubwa sana kwa wa Tanzania wenzetu, Wakaskazini wanaweza Kuoana wao kwa wao na wasiliteane hitilafu ila wacha waoane na Makabila Mengine..
Kwa Mfano mimi siwezi kudate na Demu ambaye sio Mkaskazini.. yaani sijui namwonaje yaani Nakuwa simthamini..Tofauti na Mkaskazini mabaye namwona kama Ndugu na Namthamini na Kumpenda Automaticaly!

Mkuu, in nature watu wa Kaskazini wako Smart sana Kichwani hata kama hajaingia Darasani.. ni watu wanaojiamini sana Kiasili..Watu wa Kaskazini ni watu wanaoamini wana Species nzuri saana, Kuna MWandishi mmoja Mkenya Simkumbuki Jina aliwahi Kusema Watu wa Kaskazini ni Watu wenye Muonekano Mzuri wa Sura Kuliko wote Tanzania!

Pia Naiona Singida ikianza kuwa na Ukaribu na sisi, kwa Maana saivi kumtofautisha Msinginda hasa Mdada na Wadada wengine wa Kikaskazini ni Ngumu saana!

Tuipende Kaskazini Yetu!

Natokea Babati!
 
mkuu supiri povu lako. Hahahaaa!!
 
Kanda hii hakuna kitu kinachukiwa kama chama cha mapinduzi yanii kuna watu huku wanaamini kabisa CCM ni alama ya umasikini na ujinga Sijui kwanini!??Yani ukiwa ccm wanakuona Wewe ni Madifi ( muulize mchaga madifi ni nini)

Hahahaaa!!1
 
Ukisikia madini; yaani almasi, dhahabu umeongelea lake zone. Thamani ya hivi vitu kama vingetumika kikamilifu hiyo kanda ya ziwa na Tanzania kiujumla tungekua mbali zaidi ya unavyo weza fikiria. Hapo nimeongelea madini tu tafadhali.

Mkuu hata lake zone ingekuwa kama peponi kwa kila kitu lakini haiwezi kushindana na watu kutoka kanda ya kaskazini. Watu ndio wanabadilisha dunia na si dunia kubadilisha watu. hivyo madini yenu hayawasadii kitu.
 
Tukiwemo humu miaka 10 ijayo tutaona yatakayokua yanaendelea.
 
Me kukubali juu kusini coz kule kun wanaume imara na weny akili kulipga jesh la kijerman leny watu 300 kwa mkuki mkwawa noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…