Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Baada ya serikali yetu ya Tanzania kunyimwa mkopo usio na riba na wenye grace period ya miaka 10 wa IMF na World Bank, baadhi ya viongozi wameanza majungu ya sizitaki mbichi hizi.
Waziri wa fedha alitangaza bungeni kua wameomba mkopo usio na riba kutoka IMF ili kukabiliana na madhara ya corona ila inaonekana wamekosa sasa ni majungu na vijembe kama ya wake wenza.
Ukiangalia picha ya kwanza eti Kigwangala anajifanya kushangaa nchi za Kenya, Uganda na Rwanda kuingia kwenye madeni makubwa, anasahau kua sisi tuliomba na tumenyimwa pamoja na kudanganya. Huu ni wivu tu wa kuzikosa hizo hela hata sisi tulizitaka sana.