Hii ndio ile "faida ya dola" aliyoisema Bashiru Ally?

Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CCM, Katibu mkuu kiongozi na sasa mbunge wa kuteuliwa Bashiru Ally aliwahi kunukuliwa akisema watatumia dola sana kubaki madarakani na akaendelea mbele kusema ni uzembe kuondolewa madarakani ukiwa na dola.

Japo kauli hii iliibua mjadala mkali lakini ikitazamwa kwa upana wake ina uhalisia mkubwa sana kwa mifano kadhaa, hembu tazama

Katibu mwenezi wa chama tawala anaweza kupokelewa na kwenda kwenye mkutano wa siasa wa chama chake na watendaji na watumishi wa serikali wa eneo husika, idara mashirika na vitengo mbalimbali na wakawa wanafanya kile kinchoitwa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Hakuna chama cha upinzani chenye fursa hiyo.

Katibu mwenezi wa chama tawala anaweza kuwapigia simu mawaziri na wakuu wa mashirika akiwa katika mkutano ya hadhara ya chama wanachama wa chama wakapata fursa ya kuona wanatatuliwa kero zao na kupewa ahadi za kutosha. Hakuna chama cha upinzani chenye fursa hiyo.

Inawezekana pia chama tawala kikawa hakilizamiki kuomba kibali cha kufanya mikutano au maandamano yake mbalimbali kutoka polisi kama inavyovipasasa vyama vyote vya upinzani kufanya hivyo.

Haya ni baadhi ya mambo tu ambayo huenda ndio Bashiru Ally Kakurwa alikuwa akimaanisha ni faida ya kuwa na dola.
Kwa sababu tayari ni chama tawala. Chama kikishashinda uchaguzi basi kinaunda serikali. Serikali ni pamoja na watoto wake ambao ni watumishi katika wizara, idara zinazojitegemea na wakala za serikali(MIDAS or MDAs or call State and Government Owned Agencies(SAGAs).
 
Obviously !
 
Vipi kama baadhi ya hao watumishi wako vyama vya upinzani au hawana vyama?
 
Haiwezekani kutenganisha chama tawala na utumishi wa umma katika Taifa letu. Separation ni nadharia ambazo hazitekelezeki. Lakini pia historia yetu ya Ujamaa na Chama kimoja visisahaulike. Ni historia. Historia haiwezi kubadilishwa labda ikaliwe kimya tu.
 
Yes Bashiru ndicho alicho maanisha na alisema kabisa ukiwa mzembe kutatua kero za wananchi kwa kutumia dola wananchi watakunyang'anya dola. Akasema ccm hawatakuwa wazembe kushindwa kutumia dola kwa kutatua kero za wananchi ili wabaki madaraka I.
 
Vipi kama baadhi ya hao watumishi wako vyama vya upinzani au hawana vyama?
At ones own risk. Mtu anaweza akachukua risk zake mwenyewe kama alivyowahi kuchukua Kitila Mkumbo, Prof. akiwa mhadhiri chuo kikuu cha DSM, Mwesiga Baregu akiwa mhadhiri UDSM pia, kina Mabere and others.
 
Majeshi yote yapo chini ya CCM yanafanya kazi kwa ajili ya CCM sio kwa ajili ya Watanzania.

Correction si yote. Basicaly kisheria yako under gov. Tatizo serikal imetekwa na ccm sababu ya weakness za kisheria na katiba
Is why we need reform, where by hakuna jeshi litatumika na politician
 
Haiwezekani kutenganisha chama tawala na utumishi wa umma katika Taifa letu. Separation ni nadharia ambazo hazitekelezeki. Lakini pia historia yetu ya Ujamaa na Chama kimoja visisahaulike. Ni historia. Historia haiwezi kubadilishwa labda ikaliwe kimya tu.
Kwenye siasa za chama kimoja upo sahihi.

Ila kwa mfumo wa vyama vingi utumishi wa umma haupaswi kuchanganywa na chama.
 
Correction si yote. Basicaly kisheria yako under gov. Tatizo serikal imetekwa na ccm sababu ya weakness za kisheria na katiba
Is why we need reform, where by hakuna jeshi litatumika na politician
Kwa Sasa Ccm ni mhimili wa 4 wa Tanzania (japo katiba haisemi hivyo), huo ndio ukweli mchungu.
 
Haiwezekani kutenganisha chama tawala na utumishi wa umma katika Taifa letu. Separation ni nadharia ambazo hazitekelezeki. Lakini pia historia yetu ya Ujamaa na Chama kimoja visisahaulike. Ni historia. Historia haiwezi kubadilishwa labda ikaliwe kimya tu.
Vipi kwa watumishi wa umma walio vyama vya upinzani au wasio na vyama vya siasa kabisa?
 
At ones own risk. Mtu anaweza akachukua risk zake mwenyewe kama alivyowahi kuchukua Kitila Mkumbo, Prof. akiwa mhadhiri chuo kikuu cha DSM, Mwesiga Baregu akiwa mhadhiri UDSM pia, kina Mabere and others.
Kwa nini mtumishi wa umma kuwa upinzani iwe risk ikiwa tunasema hili ni taifa la mfumo wa vyama vingi??
 
Back
Top Bottom