Hii ndio hatari inayomkabili Pinda bungeni

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,200
Reaction score
162,758
Ukweli ni kuwa,Pinda ameendelea kuwa waziri mkuu licha ya kushindwa kabisa ku-deliver kwasababu kuu mbili;

Mosi,aliemteua ni mzito kufanya maamuzi magumu.

Pili,bunge letu kushindwa kumwajibisha kwasababu liko kisiasa zaidi kuliko kujali maslahi ya umma.

Hata hivyo,kitendo cha Pinda kuingia katika kinyang'anyiro cha kugombea kuteuliwa kugombea uraisi kupitia CCM, kitaharibu hali ya hewa ndani ya bunge kwani yale makundi ya uraisi ndani ya CCM yatatumia nafasi hiyo kummaliza kisiasa.

Hoja yangu hapa ni kuwa,endapo ripoti ya Escrow account itapelekea kuitishwa kwa kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ndani ya bunge lijalo,basi kuna uwezekano mkubwa yale makundi ya uraisi ndani ya CCM yakatumia mwanya huo kummaliza kisiasa ili aonekane hafai kwa lolote.

Mbali na hii kashifa ya Escrow account, ikitokea kashifa nyingine yoyote ile,itakuwa ni vigumu kwa Pinda kusalimika kama alivyosalimika siku za nyuma.
 
CC:Wote wanaounga mkono bring back our money campaign.
 
Wewe inaonekana hujui lolote linaloendelea katika nchi hii... Uchaguzi mkuu wa ccm kumpata mgombea ni mwezi wa 5/2015 na bunge la bajeti mwezi wa 7,watamshambuliaje mgombea urais kupitia chama chao? Usifikirie kwa makalio
 
Kwa taarifa yako,Kafulila kapanga kupeleka hoja yake bunge la November.

Alafu huwezi kuhoji bila matusi?Kwani nani hajui kutukana?

Sasa hapa mimi na wewe nani anaonekana hajui kinachoendelea?
 
Wewe soma uelewe sio unakurupuka kama unaoga nje. Ripot ya escrow kama italetwa bunge la nov ndio litatumika kummaliza kisiasa ili asipenye may/15. Ww umekariri bunge la bajet.
 
Achana na huyo mtu anajiongelea tu.
 
Ukweli ni kuwa,Pinda ameendelea kuwa waziri mkuu licha ya kushindwa kabisa ku-deliver kwasababu kuu mbili;

Mosi,aliemteua ni mzito kufanya maamuzi magumu.

Pili,bunge letu kushindwa kumwajibisha kwasababu liko kisiasa zaidi kuliko kujali maslahi ya umma.

Hata hivyo,kitendo cha Pinda kuingia katika kinyang'anyiro cha kugombea kuteuliwa kugombea uraisi kupitia CCM, kitaharibu hali ya hewa ndani ya bunge kwani yale makundi ya uraisi ndani ya CCM yatatumia nafasi hiyo kummaliza kisiasa.

Hoja yangu hapa ni kuwa,endapo ripoti ya Escrow account itapelekea kuitishwa kwa kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ndani ya bunge lijalo,basi kuna uwezekano mkubwa yale makundi ya uraisi ndani ya CCM yakatumia mwanya huo kummaliza kisiasa ili aonekane hafai kwa lolote.

Mbali na hii kashifa ya Escrow account, ikitokea kashifa nyingine yoyote ile,itakuwa ni vigumu kwa Pinda kusalimika kama alivyosalimika siku za nyuma.

CC: Nyangeta Marwa

Mkuu hili jambo mimi kama raia wa kawaida tu nilishaliona siku nyingi tu na nikatoa hii post kumtahadharisha Pinda.

Akili ya kuambiwa........
 
Last edited by a moderator:
Pinda is simply a useless PM in our history! Imekuwa kazi buuuree! Never seen before!

Hope you are more apolitical.
unaupungufu wa uelewa juu ya dhana ya mh.Pinda.

By the way,si mfanyabiashara kama walivo kina Lowasa.

Then,
KWA FAIDA YAKO, Pinda hana papara wala uchu na madaraka/urais kama mnavyodhani.
**NAWASILISHA**
 
Hiyo ndio raha ya kutangaza nia mapema kama ni msafi utang'aa kama ni mchafu utajaa tope mwili mzima.Kijiti kimoja wanaotaka kupokezana ni wengi hapo mchezo utanoga.Asante ESCROW inatupa mwanga wa kuwajua mafisadi waliojificha.
 
Hope you are more apolitical.
unaupungufu wa uelewa juu ya dhana ya mh.Pinda.

By the way,si mfanyabiashara kama walivo kina Lowasa.

Then,
KWA FAIDA YAKO, Pinda hana papara wala uchu na madaraka/urais kama mnavyodhani.
**NAWASILISHA**

Huyu Pinda haweza hata umwenyekiti wa kitongoji coz hawezi kutoa maamuzi....toka aanze kuongoza ofisi ya Waziri Mkuu hakuna mabadiriko ambayo ni tangible lakini tumeendelea kuona wananchi kuonewa (tokomeza) na hata halmashauri kukosa pesa ....na kufanya wananchi kuendelea kukamuliwa katika michango.

Ntakuwa wakwanza ktk kupigilia msumari wa jeneza la Pinda hafau hata kuwapo duniani
 
Wewe soma uelewe sio unakurupuka kama unaoga nje. Ripot ya escrow kama italetwa bunge la nov ndio litatumika kummaliza kisiasa ili asipenye may/15. Ww umekariri bunge la bajet.

Hizi ni ndoto tu, Kummaliza mtoto wa mkulima! Kwa lipi? Yaani sababu IPTL wamelipwa fedha zao kipindi yeye akiwa PM? Hapana ndoto yenu haiwezi timia.
 
ni ufinyu wa akili za hawa watu wao wanadhani kuwa waziri mkuu wakati escrow wanalipwa ni kigezo tosha cha kujiudhuru uwaziri Mkuu mtangoja saaana kwa akili hizo
 
Hope you are more apolitical.
unaupungufu wa uelewa juu ya dhana ya mh.Pinda.

By the way,si mfanyabiashara kama walivo kina Lowasa.

Then,
KWA FAIDA YAKO, Pinda hana papara wala uchu na madaraka/urais kama mnavyodhani.
**NAWASILISHA**

naunga mkono hoja wape darasa hawa watoto wadogo
 
Kwa taarifa yako,Kafulila kapanga kupeleka hoja yake bunge la November.

Alafu huwezi kuhoji bila matusi?Kwani nani hajui kutukana?

Sasa hapa mimi na wewe nani anaonekana hajui kinachoendelea?

very cheap,mtangoja sana na ndoto za kipuuzi kiasi hiki
 
Huyu Pinda haweza hata umwenyekiti wa kitongoji coz hawezi kutoa maamuzi....toka aanze kuongoza ofisi ya Waziri Mkuu hakuna mabadiriko ambayo ni tangible lakini tumeendelea kuona wananchi kuonewa (tokomeza) na hata halmashauri kukosa pesa ....na kufanya wananchi kuendelea kukamuliwa katika michango.

Ntakuwa wakwanza ktk kupigilia msumari wa jeneza la Pinda hafau hata kuwapo duniani

jifunze kuheshimu wakubwa zako, kwa jeuri hii utaendelea kumlalamikia sana Mungu kuwa hakuoni
 
CC: Nyangeta Marwa

Mkuu hili jambo mimi kama raia wa kawaida tu nilishaliona siku nyingi tu na nikatoa hii post kumtahadharisha Pinda.

Akili ya kuambiwa........

umtahadharishe wewe kama nani?,umekosa watu wa kuwatahadharisha huko nje?,tafakari nyendo zako ndugu yangu dunia ndogo
 
Back
Top Bottom