ukiwa na PM mchemfu kama MP ni mwanzo wa kuangamia kwa taifa
- Alihalalisha wananchi kupigwa na polisi akaokolewa na cheo kama dhamana
- Alihalalisha waua albino kuuawa bila hukumu akaokolewa kwa kulia mpaka machozi bungeni
- Alisema rais amepitisha nyongeza ya posho za wabunge rais huyohuyo aliyemteua akakanusha kana kwamba alikurupuka bila kuwasiliana na rais
- Leo hii ana lazimisha ESCROW kupelekwa mahakamani ili asiwajibishwe kama mzee wa maamuzi magumu
huyu jamaa kweli hatufai hata kuwa mbunge wa jimbo lolote, inaonekana amewekwa pale kuficha maovu ya wanyonyaji wakati yeye anajiita mtoto wa mkulima asiye na tamaa na muadilifu