Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

Twende mbele hamna kugeuka akitokea mtu sampuli ya Zitto itafutwe kinda achinjiwe mbali
 
Ha ha ha ha MACCM yamekataliwa duniani na mbinguni walikuwa wanasombelea watu toka vijiji mbalimbali sasa wamechokaaaa maana wafirisika Mbunge salamu zako toka kwa Mbelwa 2015 utajuta kuzaliwa siku nyingine ukiitisha mkutano tafadhali njoo na familia yako maana aibu ya mwaka

attachment.php
 
Mtatijujuu Matapeli wa kisiasa na bado mutakolezwa na kubabuliwa za uso na wananchi

attachment.php
 
Back
Top Bottom