Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
7,687
2,237
Unataka nikukopeshe?Nani kakuambia nasoma SEKOMU?Wewe unanijua au unahisi unaota,unajua kazi ninayofanya,utanijua 2015 wewe kijakazi wa Lumumba

Nikujue wewe ili nipate nini? Njaa zako tu ndio zinakushawishi kuja humu kuandika pumba ili ujipendekeza kwa waume zenu kina Mbowe. Please dada yangu rudi class kasome acha kuhangaika na siasa utalala njaa na mwisho utarudi mtaani na sup au disco za kufa mtu.
 
Lyimo

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,825
2,016
Umekunywa chai au unataka buku tatu uende kupata za mchana? Halafu wanafunzi wa SEKOMU huwa wanajua kupiga mizinga yaani si wanawake si wanaume. Ila wewe jifunze njia nzuri ya kupigia wenzako mizinga híi ya kishamba. CCM itatawala milele mpaka tuchoke ndio watakuja wengine na sio Chama cha kikanda, kikabila na kidini.
Punguza muhemko CHAMVIGA, huyu aliyeleta habari siyo mkutano wake wala hajaomba hela hapa. Tuacheni kazi ya kutumikia wananchi kupitia propaganda za mitandaoni/keyboard, twendeni majimbo tukatatue kero na kuwatumikia wananchi waliotuchagua. Tuache kushabikia migogoro ya watu, tufanye kazi zetu kwa makini na uadilifu.
 
Last edited by a moderator:

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Nikujue wewe ili nipate nini? Njaa zako tu ndio zinakushawishi kuja humu kuandika pumba ili ujipendekeza kwa waume zenu kina Mbowe. Please dada yangu rudi class kasome acha kuhangaika na siasa utalala njaa na mwisho utarudi mtaani na sup au disco za kufa mtu.

Hahahaaaa usilolijua ni sawa na usiku wa giza,nashindwa nikuweke kundi gani?Akili zako za kike ndio zinakufanya kila mtu umwone wa kike?,anyway kulingana na upeo wako tusibishashe....najua ni hasira tuu za.....,pole sana.
 
CHAMVIGA

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
7,687
2,237
Hahahaaaa usilolijua ni sawa na usiku wa giza,nashindwa nikuweke kundi gani?Akili zako za kike ndio zinakufanya kila mtu umwone wa kike?,anyway kulingana na upeo wako tusibishashe....najua ni hasira tuu za.....,pole sana.

Unalalamika nini wakati hata avatar yako inaonyesha sura ya kike hiyo?
 
Makaro

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
615
136
Umekunywa chai au unataka buku tatu uende kupata za mchana? Halafu wanafunzi wa SEKOMU huwa wanajua kupiga mizinga yaani si wanawake si wanaume. Ila wewe jifunze njia nzuri ya kupigia wenzako mizinga híi ya kishamba. CCM itatawala milele mpaka tuchoke ndio watakuja wengine na sio Chama cha kikanda, kikabila na kidini.

Hapo kwenye red, usijidanganye, kuna viongozi Afraica walikuwa wanajengea wananchi wao nyumba ila kilichowakuta unafahamu. Utataja udini, ukabila, ukanda ila kwa taarifa hakuna kitu kibaya kama NJAA. Umaskini unaoendelea kati ya walionacho na wasiokuwa nacho ndiyo mchawi wa kuitoa ccm madarakani na sio muda mrefu.
 
CHAMVIGA

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
7,687
2,237
Punguza muhemko CHAMVIGA, huyu aliyeleta habari siyo mkutano wake wala hajaomba hela hapa. Tuacheni kazi ya kutumikia wananchi kupitia propaganda za mitandaoni/keyboard, twendeni majimbo tukatatue kero na kuwatumikia wananchi waliotuchagua. Tuache kushabikia migogoro ya watu, tufanye kazi zetu kwa makini na uadilifu.

Mihemko niitoe wapi mimi kwa propaganda za kibavicha kama hizo alizoleta mwenzako? M.mtoi juzi kaja na za kwake hapa eti mgombea udiwani wa CDM katekwa na CCM leo kasema sijatekwa huoni mnajidhalilisha kiasi hiko? Halafu eti mtu ni verified user. My foot. Mimi nipo kazini nalitumikia taifa na kutengeneza wasomi wala siitaji kuambiwa kama ninyi. Karibu Lymo.
 
Last edited by a moderator:

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
7,687
2,237
[/COLOR]
Hapo kwenye red, usijidanganye, kuna viongozi Afraica walikuwa wanajengea wananchi wao nyumba ila kilichowakuta unafahamu. Utataja udini, ukabila, ukanda ila kwa taarifa hakuna kitu kibaya kama NJAA. Umaskini unaoendelea kati ya walionacho na wasiokuwa nacho ndiyo mchawi wa kuitoa ccm madarakani na sio muda mrefu.

Watu wafanye kazi waache uvivu.
 
Pagija

JF-Expert Member
Dec 6, 2013
380
81
Hiyo ndio hali halisi,wewe unasemaje?

Naona daktari kakushari utaute post za kujifariji baada ya kuweweseka na mgombea kujitoa kutokana na uozo wa ongozi CDM..................tunahitaji takwimu kwenye sanduku la kura maana ke hata Lissu alikodi vijana kibao mahakamani matokeo yake akaanguia Pua..............Huko Lushoto kata ya Mtae CCM wameshawachapa!
 
afwe

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
4,080
762
Labda hakutoa pesa ya maandalizi ya mkutano. Hajajua kuwa mikutano yao huandaliwa kwa kusomba wasikilizaji toka vijiji vingine ambao hulipwa kofia, t-shirts na Kanga.
 
nemasisi

JF-Expert Member
Oct 4, 2012
1,957
566
Siku hizi sio njema kwa ccm, tulizowea kuona chama kikiwa kimeshika hatamu wakati huo ukisikia ccm vyama vingine tulikuwa tunawaona vibaraka tu! Kwa sasa ni vigumu kumkuta kijana anayejitambua akavaa tisheti ya ccm labda kama ye ndo mgombea ana mipango ya kuiba mali ya umma..ccm kimekuwa chama cha wezi
 
Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Mihemko niitoe wapi mimi kwa propaganda za kibavicha kama hizo alizoleta mwenzako? M.mtoi juzi kaja na za kwake hapa eti mgombea udiwani wa CDM katekwa na CCM leo kasema sijatekwa huoni mnajidhalilisha kiasi hiko? Halafu eti mtu ni verified user. My foot. Mimi nipo kazini nalitumikia taifa na kutengeneza wasomi wala siitaji kuambiwa kama ninyi. Karibu Lymo.

Wewe mbona unaficha sura yako na unatumia majina ya bandia weka jina lako,tangia nimejiunga JF umechangia nini la maana hapa halafu unajifanya unatengeneza wasomi,wasomi gani?Unatengeneza wasomi au Division 5.Nimeshasema sibishani na wewe nikaonekana nina upeo mdogo kama wa kwako na hii ni jibu langu la mwisho.

Hapo hakuna propaganda ni ukweli halisi, kama huwezi kuzuia mihemko ya kisiasa ni vyema ukajifunza kujiepusha na siasa.
 
Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,605
3,148
Mkuu ngoja waje kina Simiyu yetu watakwambia ulipiga picha kabla ya mkutano kuanza

Huo ndio ukweli hiyo picha ilipigwa saa 6 mchana wakati mkutano ulitakiwa kuanza saa10 jioni. Sasa hapo ulitegemea nini? Haiwezekani mkutano wa Mbunge aliyechaguliwa na kupata ushindi wa kishindo apate watu wachache hivyo kwenye mkutano wake. Au hiyo picha ni zile tunaziita "duka picha"

Natumaini nimesaidia Ritz vya kutosha hapa.

Tiba
 
karekwachuza

JF-Expert Member
Dec 23, 2013
999
335
Mbunge wa jimbo la Lushoto Mkoani Tanga Ndugu Henry Daffa Shekifu amepata salamu za 2014 kuelekea 2015,wananchi wanazidi kuikataa CCM,wananchi wa Lushoto wananza kukataa kuburuzwa. Mwenye suti ya Dark Blue(aliyekaa) kulia ni Mbunge wa jimbo la Lushoto akitafakari hatma yake ya kisiasa kuelekea 2015,hali ni mbaya.Aliyevaa hijabu ni Katibu Kata.

Hii ilikuwa kwenye mkutano wa Hadhara ambao ulipaswa kufanyika kata ya Lushoto,kijiji cha Magamba karibu na Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University(SEKOMU). Kazi ya CHADEMA ni msingi inaendelea kwa kasi jimbo la Lushoto, magamba wanazidi kusambaratika, walichobakiza ni ubabe tu!!!!!Itajulikana 2015.
Ccm ni janga la kitaifa.huu ndio mwisho wao
 
Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Huo ndio ukweli hiyo picha ilipigwa saa 6 mchana wakati mkutano ulitakiwa kuanza saa10 jioni. Sasa hapo ulitegemea nini? Haiwezekani mkutano wa Mbunge aliyechaguliwa na kupata ushindi wa kishindo apate watu wachache hivyo kwenye mkutano wake. Au hiyo picha ni zile tunaziita "duka picha"

Natumaini nimesaidia Ritz vya kutosha hapa.

Tiba

Hiyo ilikuwa saa 11 jioni,tatizo laana za fitna na majungu kwenye mchakato wa kura za maoni 2010 zinawatafuna na zitaendelea kuwatafuna,mtifuano wa Balozi Mshangama na Shekifu kufanyiana fitina haya ndio matokeo yake,CCM imefanya wananchi wa Tanga misukule yake,2015 mtaduaa
 
CHAMVIGA

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
7,687
2,237
Wewe mbona unaficha sura yako na unatumia majina ya bandia weka jina lako,tangia nimejiunga JF umechangia nini la maana hapa halafu unajifanya unatengeneza wasomi,wasomi gani?Unatengeneza wasomi au Division 5.Nimeshasema sibishani na wewe nikaonekana nina upeo mdogo kama wa kwako na hii ni jibu langu la mwisho.

Hapo hakuna propaganda ni ukweli halisi, kama huwezi kuzuia mihemko ya kisiasa ni vyema ukajifunza kujiepusha na siasa.

Kwi kwi kwi. Kweli wewe ni matope kumkichwa. Hubishani na mimi? Nani kakuambia nipo jf' kubishana na mtu?. Kama uko hapa kubishana mimi sibishani nachangia. Eti mimi si size yako? Ha ha ha we kiazi kweli. Unajipya gani sasa umeandika hapa?
 
Mandingo

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
4,411
3,534
Ubwabwa haukuwepo nini?safi sana wagosi wa ndima tishunge vibwebwe waume kwa wandee!
 
kababu

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,691
788
IMG_9913.JPG
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom