Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 289
hii ni habari njema sana!Mbunge wa jimbo la Lushoto Mkoani Tanga Ndugu Henry Daffa Shekifu amepata salamu za 2014 kuelekea 2015,wananchi wanazidi kuikataa CCM,wananchi wa Lushoto wananza kukataa kuburuzwa. Mwenye suti ya Dark Blue(aliyekaa) kulia ni Mbunge wa jimbo la Lushoto akitafakari hatma yake ya kisiasa kuelekea 2015,hali ni mbaya.Aliyevaa kikoi ni Katibu Kata.
Hii ilikuwa kwenye mkutano wa Hadhara ambao ulipaswa kufanyika kata ya Lushoto,kijiji cha Magamba karibu na Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University(SEKOMU). Kazi ya CHADEMA ni msingi inaendelea kwa kasi jimbo la Lushoto, magamba wanazidi kusambaratika, walichobakiza ni ubabe tu!!!!!Itajulikana 2015.
Ni hilo tu au una mengine.
Ni hilo tu au una mengine.
duh,kamanda hiyo kali hata mimi nikiitisha mkutano nitapata zaidi ya hao..
Ni hilo tu au una mengine.
Unaliona dogo hilo la mbunge kukataliwa na wapiga kura wake? Haya jipeni moyo tu 2015 haiku mbali.
hakuna lingine,CCM walikosea kusahau vijanaa,may god rest them in pieces!
Mbunge wa jimbo la Lushoto Mkoani Tanga Ndugu Henry Daffa Shekifu amepata salamu za 2014 kuelekea 2015,wananchi wanazidi kuikataa CCM,wananchi wa Lushoto wananza kukataa kuburuzwa. Mwenye suti ya Dark Blue(aliyekaa) kulia ni Mbunge wa jimbo la Lushoto akitafakari hatma yake ya kisiasa kuelekea 2015,hali ni mbaya.Aliyevaa hijabu ni Katibu Kata.
Hii ilikuwa kwenye mkutano wa Hadhara ambao ulipaswa kufanyika kata ya Lushoto,kijiji cha Magamba karibu na Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University(SEKOMU). Kazi ya CHADEMA ni msingi inaendelea kwa kasi jimbo la Lushoto, magamba wanazidi kusambaratika, walichobakiza ni ubabe tu!!!!!Itajulikana 2015.
Kamanda hebu tubandikie na zile za Msigwa akiwa kata ya Nduli. Asante!
Bandika wewe malipo yaongezeke,hiyo si ndio kazi yako inayokuingizia kipato,fanya haraka
Umekunywa chai au unataka buku tatu uende kupata za mchana? Halafu wanafunzi wa SEKOMU huwa wanajua kupiga mizinga yaani si wanawake si wanaume. Ila wewe jifunze njia nzuri ya kupigia wenzako mizinga si híi ya kishamba. CCM itatawala milele mpaka tuchoke ndio watakuja wengine na sio Chama cha kikanda, kikabila na kidini.
Kwa kuwa unalipwa kuandika Pumba zako humu, unadhani kila mtu analipwa! vijana acheni kufuata mkumbo.