Hii ndio halisi jimbo la Lushoto,salamu kwa CCM

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Mbunge wa jimbo la Lushoto Mkoani Tanga Ndugu Henry Daffa Shekifu amepata salamu za 2014 kuelekea 2015,wananchi wanazidi kuikataa CCM,wananchi wa Lushoto wananza kukataa kuburuzwa. Mwenye suti ya Dark Blue(aliyekaa) kulia ni Mbunge wa jimbo la Lushoto akitafakari hatma yake ya kisiasa kuelekea 2015,hali ni mbaya.Aliyevaa hijabu ni Katibu Kata.

Hii ilikuwa kwenye mkutano wa Hadhara ambao ulipaswa kufanyika kata ya Lushoto,kijiji cha Magamba karibu na Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University(SEKOMU). Kazi ya CHADEMA ni msingi inaendelea kwa kasi jimbo la Lushoto, magamba wanazidi kusambaratika, walichobakiza ni ubabe tu!!!!!Itajulikana 2015.
 
Attachments

  • shekifu.jpg
    shekifu.jpg
    120.5 KB · Views: 2,004
  • shekifu2.jpg
    shekifu2.jpg
    153.1 KB · Views: 1,175
  • shekifu3.jpg
    shekifu3.jpg
    152.1 KB · Views: 2,071
duh,kamanda hiyo kali hata mimi nikiitisha mkutano nitapata zaidi ya hao..
 
Mbunge wa jimbo la Lushoto Mkoani Tanga Ndugu Henry Daffa Shekifu amepata salamu za 2014 kuelekea 2015,wananchi wanazidi kuikataa CCM,wananchi wa Lushoto wananza kukataa kuburuzwa. Mwenye suti ya Dark Blue(aliyekaa) kulia ni Mbunge wa jimbo la Lushoto akitafakari hatma yake ya kisiasa kuelekea 2015,hali ni mbaya.Aliyevaa kikoi ni Katibu Kata.

Hii ilikuwa kwenye mkutano wa Hadhara ambao ulipaswa kufanyika kata ya Lushoto,kijiji cha Magamba karibu na Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University(SEKOMU). Kazi ya CHADEMA ni msingi inaendelea kwa kasi jimbo la Lushoto, magamba wanazidi kusambaratika, walichobakiza ni ubabe tu!!!!!Itajulikana 2015.
hii ni habari njema sana!
 
Mbunge wa jimbo la Lushoto Mkoani Tanga Ndugu Henry Daffa Shekifu amepata salamu za 2014 kuelekea 2015,wananchi wanazidi kuikataa CCM,wananchi wa Lushoto wananza kukataa kuburuzwa. Mwenye suti ya Dark Blue(aliyekaa) kulia ni Mbunge wa jimbo la Lushoto akitafakari hatma yake ya kisiasa kuelekea 2015,hali ni mbaya.Aliyevaa hijabu ni Katibu Kata.

Hii ilikuwa kwenye mkutano wa Hadhara ambao ulipaswa kufanyika kata ya Lushoto,kijiji cha Magamba karibu na Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University(SEKOMU). Kazi ya CHADEMA ni msingi inaendelea kwa kasi jimbo la Lushoto, magamba wanazidi kusambaratika, walichobakiza ni ubabe tu!!!!!Itajulikana 2015.

Kamanda hebu tubandikie na zile za Msigwa akiwa kata ya Nduli. Asante!
 
Umekunywa chai au unataka buku tatu uende kupata za mchana? Halafu wanafunzi wa SEKOMU huwa wanajua kupiga mizinga yaani si wanawake si wanaume. Ila wewe jifunze njia nzuri ya kupigia wenzako mizinga híi ya kishamba. CCM itatawala milele mpaka tuchoke ndio watakuja wengine na sio Chama cha kikanda, kikabila na kidini.
 
Umekunywa chai au unataka buku tatu uende kupata za mchana? Halafu wanafunzi wa SEKOMU huwa wanajua kupiga mizinga yaani si wanawake si wanaume. Ila wewe jifunze njia nzuri ya kupigia wenzako mizinga si híi ya kishamba. CCM itatawala milele mpaka tuchoke ndio watakuja wengine na sio Chama cha kikanda, kikabila na kidini.

Unataka nikukopeshe?Nani kakuambia nasoma SEKOMU?Wewe unanijua au unahisi unaota,unajua kazi ninayofanya,utanijua 2015 wewe kijakazi wa Lumumba
 
...

.....Hapa Sombetini hata kupita barabarani wanaogopa

pamoja sana Makamanda wa Lushoto........

RIP CCM
 
Kwa kuwa unalipwa kuandika Pumba zako humu, unadhani kila mtu analipwa! vijana acheni kufuata mkumbo.

Uzee wako nadhani unakusumbua angalia usije ukapata stroke,hujaona hiyo picha au umefumbwa macho,nani anafuata mkumbo wewe huwezi kukimbia kivuli chako,hebu tazama tena hiyo picha
 
CCM kama ni mchezo wa karata mmeramba joka na hali mchezo umeisha. Na hiki kitendo cha kuwapa ulaji akina Nkamia,mwigulu yaani ndiyo kabisa mmejimaliza wenyewe.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom