Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mama saby unamiliki page gani ya umbea insta??Penzi likageuka chuki nyumba ikageuka kibiti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mama saby unamiliki page gani ya umbea insta??Penzi likageuka chuki nyumba ikageuka kibiti
Hahaha ila mie ananichosha kila siku mbunye hizo hatuoni hata mpya..Yaan achaa sisi tusharogwaa jamani
Ila usijali mbuyu utaanguka tu
Si ulivyouliza kama na huko mvua zinanyeshaUmefurahi nn jaman
Hahahahaaaa haya banaSi ulivyouliza kama na huko mvua zinanyesha
Hazard unataka unifollow? Nakupa raha ee[emoji23] [emoji23] [emoji23] mama saby unamiliki page gani ya umbea insta??
Hapo chachaaPenzi likageuka chuki nyumba ikageuka kibiti
Hahahahaa kawaida yake karibia apate tuzo za umalayaaHahaha ila mie ananichosha kila siku mbunye hizo hatuoni hata mpya..
Hakuna cha fasihi unazingua na wewe.Yap fasihiii
Na wanawake wengi huwa wanakosea kwa kupata wanaume na kuwazalia wakijua basi ukishazaa huachwi kumbe hawajui hawa wanaume ni special caseKabisaa atafute lizee limleeee
Hahaha umefanania kweli kuleHazard unataka unifollow? Nakupa raha ee
Kwa hiyo hatuwezi kuzaa kwa mapenzi binafsi tunazaa kuwafurahisha nyinyi?Na wanawake wengi huwa wanakosea kwa kupata wanaume na kuwazalia wakijua basi ukishazaa huachwi kumbe hawajui hawa wanaume ni special case
Ndio hivyo mnazaa kutukomoooaaa,,nikomoe basii uzae hata watoto wawili[emoji23][emoji23]Kwa hiyo hatuwezi kuzaa kwa mapenzi binafsi tunazaa kuwafurahisha nyinyi?
AhahahahahNdo amezeeka hivyo,halafu mbona analia!
Kumbe wewe ni shemale!!!Ndio hivyo mnazaa kutukomoooaaa,,nikomoe basii uzae hata watoto wawili[emoji23][emoji23]
Kabisa halaf eti BBC alilia lakini kwa msiba wa mama yake hakulia atiAwalee watoto wasiwe kama yeye
Mmmmmh nilidhani utamuonea huruma mwanamke mwenzio duuu!"Kwangwaaruuu kwangwaruuuu"
"Kitandani nikolezeee kwa mauno ya kingonii"
"Weka mate niteleze kama nyoka pangoni"
"Unataka maji ya kisima na muoga kuchutama"
"Unataka kupiga deki na umesimama aii inamaa"
Zari ulirusha mno madongoo sasa yapo wapii bibiee ulizani kumzalia mwanaume haraka haraka ndio utambana pole shoga angu tunajua unampenda sana daimond ila ndo tafuta saizi yako tu mleane sijui utazaa tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halaf na nyie mnaochamba daimond mumkomeee wakati akijirekodi na zari mliona sawaa ,
Zari futa machozi endelea na maisha yako zamu ya mwingine itafika nae atalia maana tabia ni kama ngozi haijifichii [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]View attachment 746700