Hii ndio hali ya Zari kwa sasa

Huyu bibi ana laana kama aliweza acha mwanaume alozaa nae 3 children for 12 cdhan kama angeweza kwa d
Kabisa najua huko analiaa jamani na navyojua diamond na yale maunooo ya kingoni kama ya mme wangu uwiii
 
Nimuonee huruma nini hakuonaga wema alivyodhalilishwa nae akajipeleka kwa mbwembwee,ukishaona mwanaumr anadhalilisha mwanamke jua nawe yatakukuta siku moja
Na yeye akaja juu na kumchamba mwenzie eti haijui labourwod sasa yeye kaishia wapi nyooko,,hapo ndo tunaambiwaga wanawake wrote hatuna akili kumbe ni wapumbavu wachache
 
Na yeye akaja juu na kumchamba mwenzie eti haijui labourwod sasa yeye kaishia wapi nyooko,,hapo ndo tunaambiwaga wanawake wrote hatuna akili kumbe ni wapumbavu wachache
Kajivunia kuwa incubator wanawake sie bana dudu huwa zinachanhanya akilo ukija shtuka muda umeenda
 
Ndo matatizo ya kutoutumia ujana vizuri,,inawezekana hakuwah pata mkuyenge ulomsugua vizuri kama wa dai ndo maana akadata,,wakati mwingine hatupaswi kumlaumu
 
Hebu nieleweshee mpenzi
kuna clip moja ilizagaa sema sidhani kama itakuwepo ivan alikuwa ana msema zari the way alivyo kuwa mwepesi ku cheat na kuji show off kwa wanaume ambao wengi walikuwa marafiki wa ivan. na hasa alikuwa ana cheat kipindi akienda root zake za nje na nyingine ilikuwa hapo ug (jina limenitoka). na kuna siku ivan alikuwa south alikuja kwa suprise UG na alikuwa anawasiliana na zari na zari alisema yuko ug kumbe kasha ruka DUBAI mda sana sasa alivyo fika ivan home akakuta watoto akapiga nao picha akaandika maneno kuwa "mama yuko ndani anapata break fast" ndo chanjo cha ugomvi wao hasa na mengine kibao hadi kile kipindi cha kumzaba makofi club. stroy ndefu sema ku type
 
Back
Top Bottom