Hii ndio hali ya Zari kwa sasa

Hii ndio hali ya Zari kwa sasa

kuna clip moja ilizagaa sema sidhani kama itakuwepo ivan alikuwa ana msema zari the way alivyo kuwa mwepesi ku cheat na kuji show off kwa wanaume ambao wengi walikuwa marafiki wa ivan. na hasa alikuwa ana cheat kipindi akienda root zake za nje na nyingine ilikuwa hapo ug (jina limenitoka). na kuna siku ivan alikuwa south alikuja kwa suprise UG na alikuwa anawasiliana na zari na zari alisema yuko ug kumbe kasha ruka DUBAI mda sana sasa alivyo fika ivan home akakuta watoto akapiga nao picha akaandika maneno kuwa "mama yuko ndani anapata break fast" ndo chanjo cha ugomvi wao hasa. stroy ndefu sema ku type
Duuuuu kumbe chanzo ni yeye na wala sio ivan umenifungua sasaaa
 
Zary??? Mwanamke makini asokua namfano hapa bongo.

Laiti wadada wakibongo wangekua km zary ,kila kitu kingekua sawa.

Zary nimwanamke alomis Show off kwa Ivan na akamis Heshima kwa Diamond.

Ikiwa akipata mtu wakumoa vitu ivo , nimwanamke asokua namfano.
 
Mdangaji kama wengine tu na video yake ya porn iko xvideo.com mfano ganii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zari beaten by the hubby Ivan coz Ivan thought she is a slut. This happened at Spar Auto washing bay Where a furious Zari hit back that she will F**K whosoever she wants..Is Zari mature to make such a statement????
We wajua mengii lakin putin atakubishiaa
 
Zari beaten by the hubby Ivan coz Ivan thought she is a slut. This happened at Spar Auto washing bay Where a furious Zari hit back that she will F**K whosoever she wants..Is Zari mature to make such a statement????
Cc putin
 
Mdangaji kama wengine tu na video yake ya porn iko xvideo.com mfano ganii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu iaplod hapa hapa iyo video.

Ukweli nihuu ,Zary anawatoa ulimi sana wanawake wa kibongo, si kwa uzuri ,si kwa shape ,si kwa uchakalikaji wamaisha.

Unlikey Bongo ladies ..Zary ni mwanamke mwenye both Vision, Mission and Ambition!!!.

Ujue bana ,ukweli nikwamba Zary kwanza kua Independent kichwan imempa upekee sana.

Sio dems wakibongo wanaoishia kutizama wanayoyaona na kukalia kujilengesha kwa wanaume.

Whether alicheza Porn , nialiicheza when she was bad ,when alikua akiendeshwa na Hormone , lkn nikuhakikishie ..Alichokosa Zary nimwanamme sahihi wa kumuongoza !!

Zary atabaki kua zary ,na hamtokaa mumsahau huyo mwanamama.

Weee mademu wakibongo mmejazana kwa makonda ila hali hata hamna uhakika wa baba mwenye mimba ninan??? . Hii nchi bana.
 
Weee putin huyo zari nae anaomba child support analia lia mtandaoni,angekuwa mzuriii angeshaolewaa na prince charles hukoo daimond tu kashindwa kumuoa sembuse mwanaume mwinginee tushindwe kuwambuka kina halima mdee tumkumbuke mcheza porn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani Diamond naye ni muoaji? Ashawahi kumuoa nani na lini?
 
Weee putin huyo zari nae anaomba child support analia lia mtandaoni,angekuwa mzuriii angeshaolewaa na prince charles hukoo daimond tu kashindwa kumuoa sembuse mwanaume mwinginee tushindwe kuwambuka kina halima mdee tumkumbuke mcheza porn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
What i know nihii...Mwanamke hata km utakua mwanasiasa , jamii itakayokukumbuka ni wanaume na wanawake wachache tena nawao wanakua niwale wenye kariba moja .

Asilimia kubwa ya wanawake mambk yanayowaweka bize nikm haya ya akina zary , nawatu km hao ndo huwa wanakumbukwa maana wanawatoa jasho kwasababu hapohapo kuna mwanamke kwa ujinga wakuzan zary anafaidi akakipeleka kwa diamond jamaa akala.,hapohapo kuna wanawake wanamuonea wivu zary kwa uzuri wake ,na aina ya maisha ...kwaufupu wanawake mnaoneana wivu tena ukikuta huyo kakuzidi kila sekta yaaan huishi kua naye wivu ,nawivu ndo huweka kumbukumbu zisizosahaulika.

Mtu awakae km dhahabu mara nyingi husemwa sana nakuzushiwa kila jambo baya .

Nakwasababu ya Kumkosa mwanamke makin ona diamond anavyohangaika kumrusha roho ,, alizoea kupata mademu wanaomlilia LKN kaja kukutana nakisiki , mwanamke anaongea unajua kabisa hapa kuna mwanamke.

Sasa ndo umlinganishe zary na vidada visivyojua nn vinatafuta ??? .

Aiseee semen yote ,but Zary ni Super woman kuanzia kichwan mpaka mguuni,, sasa tukisema ukweli tu ,Nani wa kumlinganisha na zary hapa bongo celebs ??

Embu nitajia .
 
Back
Top Bottom