Hii ndio hali ya Zari kwa sasa

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
16,657
2,000
"Kwangwaaruuu kwangwaruuuu"
"Kitandani nikolezeee kwa mauno ya kingonii"
"Weka mate niteleze kama nyoka pangoni"
"Unataka maji ya kisima na muoga kuchutama"
"Unataka kupiga deki na umesimama aii inamaa"

Zari ulirusha mno madongoo sasa yapo wapii bibiee ulizani kumzalia mwanaume haraka haraka ndio utambana pole shoga angu tunajua unampenda sana daimond ila ndo tafuta saizi yako tu mleane sijui utazaa tena
Halaf na nyie mnaochamba daimond mumkomeee wakati akijirekodi na zari mliona sawaa ,

Zari futa machozi endelea na maisha yako zamu ya mwingine itafika nae atalia maana tabia ni kama ngozi haijifichii
Screenshot_2018-04-16-19-10-44-1.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom