Hii ndio hali halisi ya dar

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
 
Halafu ukisikiliza vyombo vya habari vya kimataifa utajua kamba Tanzania tumesahaulika, mafuriko makubwa mji mkubwa kama huu lakini sijasikia BBC wala CNN hata kuyataja kwa mpito tu.

Inabidi tuanzishe vyetu.
 
Kuendesha zjiji la Dar es salaam kunahitaji fikra mpya sasa.
 
Yani kamvua haka tu mafuriko yote hayo? Je ikishuka ya ukweli?
 
Halafu ukisikiliza vyombo vya habari vya kimataifa utajua kamba Tanzania tumesahaulika, mafuriko makubwa mji mkubwa kama huu lakini sijasikia BBC wala CNN hata kuyataja kwa mpito tu.

Inabidi tuanzishe vyetu.

bbc na dw wametangaza sana kuhusu adha ya mafuriko ya huko dar tangu jana mpaka leo jioni nimetoka kuwasikiliza.
 
Na mimi nimesikiliza jioni hii, BBC.
Yule jamaa wa msasani amesema hahamishi biashara yake kule bondeni ambayo asilimia kubwa imesombwa na maji, maana hana hela ya kukodi fremu kwa laki tatu.
 
Halafu ukisikiliza vyombo vya habari vya kimataifa utajua kamba Tanzania tumesahaulika, mafuriko makubwa mji mkubwa kama huu lakini sijasikia BBC wala CNN hata kuyataja kwa mpito tu.

Inabidi tuanzishe vyetu.
ni BBC/CNN au waandishi/wawakilishi wao ndo wa kulaumiwa!lkn huwezi jua labda wawakilishi wao wamesombwa na mafuriko au wako busy kunasua samani zao toka kwenye mafuriko!
 
bbc na dw wametangaza sana kuhusu adha ya mafuriko ya huko dar tangu jana mpaka leo jioni nimetoka kuwasikiliza.

Unasikiliza idhaa ya Kiswahili? Mimi nimekuwa nasikiliza World Service off and on lakini katika taarifa zao za habari sijasikia lolote. DW sijawasikiliza.
 
hapa siasa zikiwekwa pembeni mambo yatakuwa mazuri soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…