Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Russia haipo.bado duniya haijakamilika hapoo.
Russia haipo.bado duniya haijakamilika hapoo.
Kweli kabisa! Dunia imekamilika hapo!
Wadhungu...!! wangine tunawita G7,G8 !!
Je, nikuuite waje.....TZ?
Toka lini!?...ni mpaka 2050..Na apo ni iwapo tuu uchumi wa U.S utakua stagnant....
pitia kwe web ya world bank uone
Nipo nao dinner !! tukisha maliza na mkutano ntakutumia wasfu wa kila mmoja.....!!! worry out...awa jamaa raha sana ukiwa nao!! Siyo wale wa third world mmmh!Majina yao sasa ndio sijawajua...........
Wanaitwa kina nani hao.......?.
From left, President of the European Council Donald Tusk, Japanese Prime Minister Shinzo Abe, Canadian President Stephen Harper, President Obama, German Chancellor Angela Merkel, French President Francois Hollande, British Prime Minister David Cameron, Italian Prime Minister Matteo Renzi and President of the European Commission Jean-Claude Juncker pose at the group photo at the summit of G-7 nations at Schloss Elmau near Garmisch-Partenkirchen, Germany.![]()
Uko nyuma sana ya wakati SirChief. China is the largest economy toka mwaka Jana. Hao wakitoka hapo wanaenda kukopa China. Kisha wanakuja kutukopesha sisi kupitia hiyo World Bank yao!
Usawa uko wapi hapo ? wanaume wote hao na mwanamke mmoja tu , bado wanawake hawapewi haki zao huko G7
Kwani huko yaeda chini haujakutana nao,...mmmmmh
Sorry utakua hukuelewa, china ni largest economy kwenye purchasing power mkuu,kasome vizuri tena usifanye mambo kishabiki.
China haipo G7 kwa sababu ya kwamba ni developing economy na sio developed economy hao G7 ni developed economies, ukiangalia hata Brazil ina GDP kubwa kuliko ya UK ila haiko kwenye G7 kwa kua wao china,brazil,south korea nk wako kwenye uchumi unaokua.Kwenye comment yangu niliandika China ni largest economy, siku specify kwenye nini. Hata hivyo, Vigezo vya uchumi vinatoka imf, WB, UN, na CIA. Na data pia zinatoka huko huko na kutangazwa na CNN, FOX na BBC!
Lakini hata kwa vigezo vya WB 2014, GDP ya China ilikuwa $10.4 trillion, UK ilikuwa 2.9 Trillion, Canada 1.9!. Sasa kama nani anapaswa kuwa kwenye G7 kati ya hao?.