Hii ndio DIT aisee

Hii ndio DIT aisee

dit nilishawahi kuulizwa na lecturer "nikubadishie mtihani" nikakubali na bado mtihani niliobadilishiwa nikaingia chaka!!!
 
Mbona hiyo inatumika sana vyuoni. Nakumbuka chuoni wakati jibu la kwanza ni A kwa jirani yako jibu ni C, ukipiga tu chabo inakula kwako.
 
Leo kulikua na test watu tumejiandaa fresh kuingia kwenye paper ndani ya chumba cha mtihani kulikua na msongamano wa wanafunzi aisee yani ilionekana kama vile itakua kitonga kupata majibu lakini mambo yalikua tofauti yaani unakuta mtu aliyekaa mbele yako au pembeni yako mnafanya test ya module moja lakini maswali tofauti hapo sasa.baada ya pepa kumbe watu tukagundua tumefanya test tatu tofauti lakini kila mtu kafanya moja..[emoji23] [emoji23]
Juche vipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom