Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,187
- 2,680
Leo kulikua na test watu tumejiandaa fresh kuingia kwenye paper ndani ya chumba cha mtihani kulikua na msongamano wa wanafunzi aisee yani ilionekana kama vile itakua kitonga kupata majibu lakini mambo yalikua tofauti yaani unakuta mtu aliyekaa mbele yako au pembeni yako mnafanya test ya module moja lakini maswali tofauti hapo sasa.baada ya pepa kumbe watu tukagundua tumefanya test tatu tofauti lakini kila mtu kafanya moja..