Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Sasa
Hao uliowataja wako kwa mabeberu wanahubiri na kuunga mkono Ushoga!?
Sasa we hoja yako Ni ipi, maana nilitegemea waliopo madaraka I Tena karibu na chama kule kwenye majimbo yao Mambo Safi ili upate moral authority ya kumsema Lissu lakini Kama mnafanana. Mwache aseme muda ukifika wapiga kura wake wataamua.

Suala la kuunga mkono Ushoga..sidhani Kama anaunga mkono. Swali: kina Babu Seya walifungwa kwa kosa gani, iweje wamepewa msamaha, je waliotoa msamaha wanaunga Ushoga?
 
Hahaha umjibu hoja gani Lissuu..hivi unamuona ana hoja yule..si ni kama amechanganyikiwa, we unqvyomuona yuko sawa..? Ni kama amerukwa na akili fulani hivi..hayuko sawa..you can tell even by looking..!!
Sasa nikwambie ukitukanana na chizi na wewe utaonekana chizi..dawa ya chizi ninkumwacha apayuke akichoka analala..kwanza wananchi wameshamchoka..tanzanians are fed up..imagine kama yule mzungu aliyemhoji tu alimchoka kwa kutokuwa na point za kujieleza, hivi unategemea nini kwa wananchi wanaomsikiliza mara kwa mara..wameshamshtukia mwanaharakati na kibaraka wa wazungu..! Wacha aendelee kuwalambalamba..
Lissuuu alipoteza umaarufu pale alipotaka kuingiza chaka wananchi eti tulifanya makosa kuwakamata jamaa wa makinikia..khaaa...upumbaf mtupu..yani mtu umemstukia anakwibia, sasa kumkamata liwe kosa..?? Ujinga wawapi ule..kumbe jamaa kule pembeni alikuwa anapenya kwenda maofisi yao kimyakimya sijui kufanya nini
 
Ni vigumu kwa CCM kumjibu kwa Hoja kwa sababu mfumo wa Uongozi kwa awamu hii ya tano upo kienyeji yaani kuna Rais kisha Naibu Rais na mshauri mkuu ambaye anatumia style za yule mshauri wa marehemu Iddy Amin dada aliyekuwa akijulikana kwa jina la Maliyamungu ni mtu aliyekuwa na roho mbaya sana kama Daud Arbaty Bashite na cyprian Musiba ni vigumu wajenge hoja kwa Sababu ushauri wa Bashite kwa mtukufu malaika toka chato ni biashara kubwa sana wao wanalipwa mabilioni kwenye miladi ya kudhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla, wakikalia hoja watakosa pesa.
 
huwezi kubishana na kichaa na wewe utakuwa kichaa.....hatuko hapa kumuangalia mtu mmoja akiwadanganya watanzania akiwa ndani na nje ya nchi hatuwezi kuhangaika na mtu anayewajenga watanzania kuwa wasaliti wa nchi yao....hilo halitawezekana kamwe ndani ya Tanzania mpaka mwisho wa dunia....msaliti yoyote atashughulikiwa kama ambavyo msaliti anatakiwa kushughulikiwa na hiyo ndiyo dawa ya msaliti
 
Hao uliowataja wako kwa mabeberu wanahubiri na kuunga mkono Ushoga!?
Umeuliza vyema,sasa wao wapo hapohapo Tanzania lakini majimbo yao hayana tofauti na huyo munaesema anazurura.Wao wanafanya nini ?Nimegundua wazee na vijana wengi wa ccm munajitoa ufahamu kwa ajili yakulinda maslahi ya kwenda chooni,lakini kumbukeni Mzee Sitta alikuwa mbabe Leo ni Marehemu.Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la kina Babu Seya ulishawahi kupata wasaa wa kupitia mafaili ya kesi nzima!? Maana mnatokwa mapovu kama nyie ndio mlikuwa wapelelezi na watoa Hukumu wa kesi husika.
Unajua Mazingira ya kesi ya kina Babu Seya na watoto wake!?
 

Well spoken; lakini ni nani kati yao yuko tayari kusimama akahesabiwa akashauri watumie njia ya Kujibu hoja kwa nguvu ya hoja? wote wamebaki kuwa washangiliaji na kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu, wanatamani tu Lissu afe kero iwaondokee!!

Wanasahau kwamba Martin Luther King Junior aliuwawa 1968, lakini Civil rights movement iliendelea kushamiri, Lissu atakufa ndio kama sisi wengine wote; lakini atakuwa ameacha mbegu ambayo itamuishi kwa miaka mingi sana baada ya kifo chake.
kuua mwili ni kazi bure, NENO ndio kila kitu. wacha Mungu wanalijua hilo vizuri sana kwani limetamalaki kwenye kitabu kitakatifu BIBLIA.
 
Umeshafika katika majimbo ya hao uliowataja hivi karibuni? Mimi nimefika Jimboni kwa bwana Lissu, nilikuwa huko mwezi wa kumi na mbili mwaka jana (2018) HALI INATISHA SANA.
 
Utajibu hoja kwa uongo ?!
Lissu ni mkweli kwa hiyo jibu ukweli kwa ukweli . Uongo lazima utumie nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaishi singida mashariki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MaliyaMungu alikuwa katili kuliko Idd Amin!
 

Tena Bashite na Ndungai wanakazania arejee haraka Tanzania aje kupigwa Risasi na kikundi cha Daud Arbaty Bashite.
 
Suala la kina Babu Seya ulishawahi kupata wasaa wa kupitia mafaili ya kesi nzima!? Maana mnatokwa mapovu kama nyie ndio mlikuwa wapelelezi na watoa Hukumu wa kesi husika.
Unajua Mazingira ya kesi ya kina Babu Seya na watoto wake!?
Hakunammazingira nje ya hukumu za magistrate, High court na Court of appeal!
 
Sikitiko kwa taifa.Unataka kutuaminisha kuwa tangu Lissu aende kwenye matibabu fedha za jimbo hazijatumika kumsubiri arudi?Shame lame!
Mimi siko hapa kumuaminisha kiumbe yoyote..bali niko hapa kuweka rekodi sawa na kupinga Upotoshaji umma, Uzandiki, Unafiki, Uhaini, Uongo n.k.
Nenda kafanye Tafiti (Research)....maana katika ulimwengu wa leo bila Tafiti huna Haki ya kupayuka.
Uliona jinsi Steve Sackar alivyomtawanyatwanya Tundu...yote hiyo ni kwa sababu bwana Sackar alifanya Tafiti iliyomuwezesha kufanya mahojiano vyema na kumfanya Lissu aonekane kituko machoni kwa watu makini.
 
MaliyaMungu alikuwa katili kuliko Idd Amin!

Warithi wake wapo Tanganyika sasa na mpaka hivi tunavyoongea Cyprian musiba na Heri kisanduku wapo kwenye mazoezi makali ya kulenga shabaha wanajiandaa kwa shambulio la pili ambalo watamshambulia kama Alshabab.
 
Suala la kina Babu Seya ulishawahi kupata wasaa wa kupitia mafaili ya kesi nzima!? Maana mnatokwa mapovu kama nyie ndio mlikuwa wapelelezi na watoa Hukumu wa kesi husika.
Unajua Mazingira ya kesi ya kina Babu Seya na watoto wake!?

Bado nazidi kukudharau maana zimefanyika review za kutosha Hadi Mahakama ya Rufaa Mara mbili zote zilimkuta na hatia. Sasa hebu sema Mahakama ilikosea wapi ili umma ujue Mahakama ilimuonea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…