The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,383
- 2,586
Hapana ccm bado ina viongozi wazuri sana, labda uniambie wameamua kukaa kimya tu.Ccm haina mtu wa kujenga hoja sasa hivi wote kazi yao ni kupiga vijembe kama alivyo mkuu wao
Hapa ndo umejibu hoja zake?Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Nyie si mnasemaga hampeleki maendeleo katika majimbo ya wapinzani! Sasa Lisu atafanyaje na nyinyi ndio mnakusanya kodi?Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Nigger please,vijiheshima ulivyobakia navyo(hata ya mimi kuku-quote) uwe unaitunza basi.Unapoongea maendeleo ya wana Singida Mashariki si mazuri na kumuhusisha Lissu unaji-degrade kimawazo na ufahamu mnoo!Unataka kuaminisha watu kuwa mbunge huwa ana shamba la neema chekwa ni kiasi cha kuwagawia wananchi?Kwamba mbunge akiwa jimboni anawalimia mashamba wananchi ili wapate chakula na ziada watauza kwa mapesa mengi?Kwamba hakuna madiwani na mkurugenzi wa eneo husika kutekeleza na kusimamia maendeleo?Mkiwa watunzi wa propaganda nyembamba muwe na akili za ku-inject huo upuuzi kwa waelewa.Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Hebu nenda Jimbo la Ndugai, Jimbo la Simbachawene, Mkamia wote CCM wote Ni happy Dodoma, halafu nenda Jimbo mama Jenister, Jimbo la Msukuma na Jimbo la Kibajaji.Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Kazi ya pesa iliyoko kwenye mfuko wa maendeleo jimboni ni nini kamanda!?Lissu hajawahi kukusanya hela ya wana singida mashariki, hivyo maendeleo yao waulizwe wanaokusanya kodi. Huko kwa mabeberu sio Lisu pekee anaenda, hata serekali inatambeza bakuli hukohuko.
Hao uliowataja wako kwa mabeberu wanahubiri na kuunga mkono Ushoga!?Hebu nenda Jimbo la Ndugai, Jimbo la Simbachawene, Mkamia wote CCM wote Ni happy Dodoma, halafu nenda Jimbo mama Jenister, Jimbo la Msukuma na Jimbo la Kibajaji.
Uje utuambie majimbo Yana utofauti gani na Jimbo la Mwigulu na Lisu.
Kazi ya pesa iliyoko kwenye mfuko wa maendeleo jimboni ni nini kamanda!?