ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,431
- 118,985
hahahaaa...... Heri hata nimejua ngoja nikamtonye pacha angu
Hivi unajua siku ukinitia machoni utatamani upate hii 'mbegu'.... teh!
hahahaaa...... Heri hata nimejua ngoja nikamtonye pacha angu
Heaven on earth; Angalia hela hiyo itakutoa roho we mtoto!! Kila kitu kwako hela tu?
Upo? Waendeleaje? Yaani hapa nilikuwa napitia nyuzi kadhaa bila kukuona nikataka nikupm md c mrefu.We nipe hela.
Hata usiponipa dudu yako poa tu.
- umjali
- umpende
- umthamini
Madame B unaweza kukuta kibamia kikakukuna hadi ukashangaa. Ya Mungu mengi so wote wanafaa nadhani.sitaki hao na vibamia vyao.
Women are complex,hawaeleweki hata utoe roho yako uwape..utalia ,wewe jipe tu matumaini
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mapenzi hayana fomula.Siku zote ukitaka kuishi kwa furaha na mwanamke yeyote mfanyie mambo haya matatu. 1. Mpe chakula anachotaka 2. Hakikisha unamvalisha mavazi mazuri na 3. Mridhishe kunako 6£¿6
ukisikia siasa za wanawake ndio hizo. " oo, natka mwanaume anaenijali, anaenipenda, na kunithamini." wizi mtupu , what is the meaning of CARE, LOVE AND CONCERN/ . Haya ni majibu mepesi mno, tena mno mno. Yule mtoa mada hoja alizotoa ndio kwanza wanataka. kwanza wanawake kabla ya yote ni wavivu hawapendi kujitegemea na wanaka mtu wa kumtegemea. we ukiona mama anafikiria eti kujitegemea na si kuolewa ujue kakosa tu wa kumsaidia. MADEMU, WANAWAKE, MASHOLI NA WENGINE WOTE PESA KWANZA AU MAHITAJI YA MSINGI. sio hizo porojo hapo juu. hizi zinakuja baada ya kukuona unafedha. anaweza akajifanya mpole, ukamjali, ukampenda, ukamthamini baada tu ya kujua una hela. Ishiwa halafu eti jifanye unamjali , sijui una mpenda, au unamthamini NDO UTAPATA JIBU. Tuache kudanganyana jamani. Hao mpaka wajeruhiwe ndipo wanakumbuka kuwa maisha ni zaidi ya mali.
- umjali
- umpende
- umthamini
Hayo niloataja ndio ya umuhimu kwangu labda kwasababu mimi ni mwanamke ninayejitegemea na sina shida na pesa ya mwanaume!Mara nyingi tukiongelea vitu tuna refer kwenye experience tulizopitia nadhani ndivyo ulivyofanya ww!Sikulaumu kama wote ulokutana nao wewe wanaweka pesa mbele kwasababu ndio jamii yetu ya sasa ilivyo katika kila nyanja pesa na rushwa ndio inapewa kipaumbele.But i will stick to what i have said mwanamke umjali,umpende na umthamini....Haya mrushie hayo mapesa yote kisha usimpe hivo vitu vitatu uone kama hatoenda kutafuta kiseregenti boy kimpe malavidavi...ukisikia siasa za wanawake ndio hizo. " oo, natka mwanaume anaenijali, anaenipenda, na kunithamini." wizi mtupu , what is the meaning of CARE, LOVE AND CONCERN/ . Haya ni majibu mepesi mno, tena mno mno. Yule mtoa mada hoja alizotoa ndio kwanza wanataka. kwanza wanawake kabla ya yote ni wavivu hawapendi kujitegemea na wanaka mtu wa kumtegemea. we ukiona mama anafikiria eti kujitegemea na si kuolewa ujue kakosa tu wa kumsaidia. MADEMU, WANAWAKE, MASHOLI NA WENGINE WOTE PESA KWANZA AU MAHITAJI YA MSINGI. sio hizo porojo hapo juu. hizi zinakuja baada ya kukuona unafedha. anaweza akajifanya mpole, ukamjali, ukampenda, ukamthamini baada tu ya kujua una hela. Ishiwa halafu eti jifanye unamjali , sijui una mpenda, au unamthamini NDO UTAPATA JIBU. Tuache kudanganyana jamani. Hao mpaka wajeruhiwe ndipo wanakumbuka kuwa maisha ni zaidi ya mali.
vitz hiyo hiyo ndo itakae kusaliti...teh teh maisha matamu...kuna vitu haviwezi kuepukika!4.Mnunulie na Vitz basi umemalza kabisa!!
we nipe hela.
Hata usiponipa dudu yako poa tu.
Hayo niloataja ndio ya umuhimu kwangu labda kwasababu mimi ni mwanamke ninayejitegemea na sina shida na pesa ya mwanaume!Mara nyingi tukiongelea vitu tuna refer kwenye experience tulizopitia nadhani ndivyo ulivyofanya ww!Sikulaumu kama wote ulokutana nao wewe wanaweka pesa mbele kwasababu ndio jamii yetu ya sasa ilivyo katika kila nyanja pesa na rushwa ndio inapewa kipaumbele.But i will stick to what i have said mwanamke umjali,umpende na umthamini....Haya mrushie hayo mapesa yote kisha usimpe hivo vitu vitatu uone kama hatoenda kutafuta kiseregenti boy kimpe malavidavi...
Si upendwe kwanza halafu hela...1.Mpe hela.......
Mengine ndio yafuate.........