Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Teeh! We tania tu, lakini ujue ukianza utani hutoniweza... teh!
mi najuaga tu maandunje wengi ni wabishi hata nikikutania utaleta ubishi tu
Teeh! We tania tu, lakini ujue ukianza utani hutoniweza... teh!
mi najuaga tu maandunje wengi ni wabishi hata nikikutania utaleta ubishi tu
Siku zote ukitaka kuishi kwa furaha na mwanamke yeyote mfanyie mambo haya matatu. 1. Mpe chakula anachotaka 2. Hakikisha unamvalisha mavazi mazuri na 3. Mridhishe kunako 6£¿6
1.Mpe hela.......
Mengine ndio yafuate.........
heheheee kweli mpe hela... umpe tena helaa..
.mwongezee helaaa
...
ufanye yote hayo changanya na ya mimi49 + Heaven on earth kama hakupendi "YOU ARE DEAD"
sitaki hao na vibamia vyao.
We nipe hela.
Hata usiponipa dudu yako poa tu.
We nipe hela.
Hata usiponipa dudu yako poa tu.
Kila nchi ina ramani yake so ukiijua ya Tanzania then uingie Kenya na mbwembwe za Tzii utapotea mitaani mapaka uchizike!!!!!!!
Binadamu wote mtego wetu ni huu
1. Uhakika wa maisha raha mtawanyiko na starehe za hapa na pale
2. Uhakika wa kupendwa na kuoneshwa unapendwa
3. Kuheshimiwa
4. Kuthaminiwa na kujaliwa
5. Kupewa uhuru wa kufanya yale yanayokubaliwa kwa mujibu wa dini husika na.jamii inayowazunguka!!!!
Heaven on earth; Angalia hela hiyo itakutoa roho we mtoto!! Kila kitu kwako hela tu?1.Mpe hela.......
Mengine ndio yafuate.........
Ubishi sunna bibie!
Hata hivo mi sio mfupi kwa hiyo kama utaleta hoja nzito wala sibishi
Bado!!!!