Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Haha...
Niombewe ili iweje?
Ili uwe mrefu!
aisee nimecheka.....JF ni free stress zone
Haha...
Niombewe ili iweje?
Ili uwe mrefu!
We nipe hela.
Hata usiponipa dudu yako poa tu.
Utaenda kwa dogodogo akakupatie dudu!
Ahahahaaaaaaa
Ili uwe mrefu!
mkuu ni kweli kabisa ila na mungu naye kwa changamoto zake hawezi akakupa hivyo vitu vitatu vyote fanya tafiti utakuta kila mtu ana viwili , mimi nina kimoja tu yaani nakipenda sana hicho kinanipa na hivyo vilivyabakiaSiku zote ukitaka kuishi kwa furaha na mwanamke yeyote mfanyie mambo haya matatu. 1. Mpe chakula anachotaka 2. Hakikisha unamvalisha mavazi mazuri na 3. Mridhishe kunako 6£¿6
Siku zote ukitaka kuishi kwa furaha na mwanamke yeyote mfanyie mambo haya matatu. 1. Mpe chakula anachotaka 2. Hakikisha unamvalisha mavazi mazuri na 3. Mridhishe kunako 6£¿6
Siku zote ukitaka kuishi kwa furaha na mwanamke yeyote mfanyie mambo haya matatu. 1. Mpe chakula anachotaka 2. Hakikisha unamvalisha mavazi mazuri na 3. Mridhishe kunako 6£¿6
1.Mpe hela.......
Mengine ndio yafuate.........
2. Mpe hela tena ....
.........
1. Mpe hela
2. Mpe hela
3. Nasema Mpe hela tu
4. We mpe hela tu......
5. Toa hela ........
1.Mpe hela.......
Mengine ndio yafuate.........
Ili uwe mrefu!
Mwanamke bila kumsifia sifia haendi.............Siku zote ukitaka kuishi kwa furaha na mwanamke yeyote mfanyie mambo haya matatu. 1. Mpe chakula anachotaka 2. Hakikisha unamvalisha mavazi mazuri na 3. Mridhishe kunako 6£¿6
Kha.. unajuaje kama mi mfupi?
Haha.. Lady doctor, huyu jamaa mgomvi tu... ye anajuaje!
hahahaaa...... Nilitaka nianze kukutania sasahivi