King Jaja of Opobo
Member
- Aug 20, 2013
- 49
- 5
Siku zote ukitaka kuishi kwa furaha na mwanamke yeyote mfanyie mambo haya matatu. 1. Mpe chakula anachotaka 2. Hakikisha unamvalisha mavazi mazuri na 3. Mridhishe kunako 6£¿6
1.Mpe hela.......
Mengine ndio yafuate.........
sasa mke hela gani nyingne ya zaidi..
- umjali
- umpende
- umthamini
Wanaotaka hivyo ni 1/1, 000, 000(one millionth)..
Waliobaki wote 999, 999/1, 000, 000 ni $$$$$$
1.Mpe hela.......
Mengine ndio yafuate.........
Mimi ni moja kati ya hao wachache...:smiling:Wanaotaka hivyo ni 1/1, 000, 000(one millionth)..
Waliobaki wote 999, 999/1, 000, 000 ni $$$$$$
hahahaa...
Ndio. Hela inaishia ujenzi na shule kwa watoto. Achezee mshahara wake..na msosi home jukumu lake. OVER.
Cc: Heaven on earth
hata wewe!
kweli kabisa.....
- umjali
- umpende
- umthamini
Women are complex,hawaeleweki hata utoe roho yako uwape..utalia ,wewe jipe tu matumaini
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Haha...
Niombewe ili iweje?