Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,664
Amesomea niniWakuu
Mbali na vijembe na kejeli zinazoendelea mitandaoni juu ya Mwanadada Jokate juu ya uteule wake kutoka kwa mheshimiwa rais.
Nimepitia mitandaoni a.k.a nime googlize wasifu wake na nikapata kipande hiki hapa
View attachment 821978View attachment 821979
Ndio hivyo mkuu kama ulikuwa na mpango wa kujiweka jua ni mama yako mdogo huyoDuu kumbe jojo kasha kula kachumvi kidogo
Katiba inasema mwenye nchi akiamuaNaona ni mzaliwa wa marekani.
Katiba inasemaje kwenye hilo??
Hapa naona demokrasia imebakwa.... tehteehhhNaona ni mzaliwa wa marekani.
Katiba inasemaje kwenye hilo??
Mwee si ndo nashangaa sijui kinanii cha wapi.Political leaders?
Na hapo nimepunguza kuwaza, kwasababu nipo kwenye ibada.... tehteehhh😀😀 mkuu umewaza mbali sana
Hapò kwa mama mdogo nakazia[emoji419][emoji419]Ndio hivyo mkuu kama ulikuwa na mpango wa kujiweka jua ni mama yako mdogo huyo
Hata kupamba sio hukoMwee si ndo nashangaa sijui kinanii cha wapi.
eti ndio hivyo mzee baba!!!Political leaders?
Kasoma shuleniShule kasoma wapi?