Mi nilizani kwa kuwa uku ni kwao na mwlm nyerere kungekuwa na kautofauti kidogo,hasa huduma muhimu za kijamii.Mkuu, ulitegemea kuona kuna tofauti gani? Hizo ndio hali za wananchi wa kawaida hapa nchini.
Wakati wa Mwl hali ilikuaje? Jakaya kang'oa mabomba,kachuna rangi, katindua Lami Kahamisha vitanda hospitali?.Umaskini tuliaminishwa ndio sifa ya Uadilifu na haya ndo matokeo!
Yaani wa kulaumiwa ni Nyerere mwenyewe na wala sio Mkapa, Mwinyi au KikweteWakati wa Mwl hali ilikuaje? Jakaya kang'oa mabomba,kachuna rangi, katindua Lami Kahamisha vitanda hospitali?.Umaskini tuliaminishwa ndio sifa ya Uadilifu na haya ndo matokeo!
So? Madhumuni ya bandiko hujatupatia mkubwa.
Una uhakika unachokisema hapo?
Mi nilizani kwa kuwa uku ni kwao na mwlm nyerere kungekuwa na kautofauti kidogo,hasa huduma muhimu za kijamii.
upo sahihi mkuu,nilikuwa nafikiri tofauti ya kwamba kijiji cha rais lazima kiwe na maendeleo kwa kiasi fulani kulinganisha na vijiji vingine, kumbe vijiji vyote vipo sawa.Kwani si ndio maisha yetu watanzania hayo? Mbona unashangaa Butiama hamna hivyo vitu umejiuliza kijijini kwenu? Kwanini unataka Butiama iwe tofauti na Tanzania nyingine?
Maisha yanapaswa kuwa sawa na nadhani itakuwa ni makosa kama nyumbani kwa viongozi kuwe kama Ulaya alafu sehemu zingine ziwe 'daraja la tatu'. Mgawanyo wa kiuchumi usiwe wa kitabaka kufuata wanapotoka viongozi.
Tatizo la maji ni nchi nzima, huna sababu ya kushangaa kwa nini Butiama hakuna.
alifanya hivyo kwa nia nzuri na alimwomba Gaddafi akiwa mkulima wa kawaida,labda angekuwa kama Jakaya aliyeuza mapande ya ardhi kwa waarabu,na madini kwa wazungu,gesi wachina,makaa ya mawe kawakabidhi wa afrika ya kusini na Tanzanite kumlikisha mwanawe angeweza kuweka maji kijijini kwaoHicho ndo kijiji cha mtu aloamini sera ya Kujitegemea akijisifu kutembea na kitabu cha Azimio la Arusha kila sehem ili akisome lakin akaenda kuomba msaada wa kujengewa Msikiti na Gadafi kijijini kwake.
alifanya hivyo kwa nia nzuri na alimwomba Gaddafi akiwa mkulima wa kawaida,labda angekuwa kama Jakaya aliyeuza mapande ya ardhi kwa waarabu,na madini kwa wazungu,gesi wachina,makaa ya mawe kawakabidhi wa afrika ya kusini na Tanzanite kumlikisha mwanawe angeweza kuweka maji kijijini kwao