Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*BONGO BHANA YAANI WENYE AKILI WENGI HAWANA HELA WENYE HELA WENGI HAWANA AKILI CHA AJABU ZAIDI NI WENYE KAZI WENGI HAWANA VYETI HALAFU WENYE VYETI WENGI HAWANA KAZI.*
Hivi bila kuwa na akili unaweza kuwa tajiri kama Mengi..Bakhresa....au Mo Dewji???*BONGO BHANA YAANI WENYE AKILI WENGI HAWANA HELA WENYE HELA WENGI HAWANA AKILI CHA AJABU ZAIDI NI WENYE KAZI WENGI HAWANA VYETI HALAFU WENYE VYETI WENGI HAWANA KAZI.*
Muwe mnasoma na kuelewa ... hao mnaowataja ni wachache ... nimesema wengi hawana hela na sio wote wenye akili hawana hela ... tafakari kidogo ...Hivi bila kuwa na akili unaweza kuwa tajiri kama Mengi..Bakhresa....au Mo Dewji???