Hii ndio bodi ya mikopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio bodi ya mikopo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by STALLEY, Sep 6, 2012.

 1. STALLEY

  STALLEY JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kumbe bodi ya mikopo watu wanakula hela kwa kwenda mbele. mishahara inapangwa na bodi ya wakurugenzi ambapo kwa wafanyakazi kwa ngazi ya menegimenti mishahara inafikia milioni 7.5 pamoja na marupurupu yafuatayo
  1. responsibiliy allowance
  2. Housin allowance
  3. Fuel&maintainance allowance
  4. Utilities allowance
  na kwa mujibu wa bodi mishahara hii imeidhinishwa na serikali na kigezo walichotumia kupanga mishahara hii ni majukumu mazito ambayo watu hawa wamepewa.
  Hii imekaaje
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ni nouma..alafu mtoto wa mkulima anakula nil..
   
 3. Victor Kisanga

  Victor Kisanga Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo hivyo, mwenye nacho atazidi kuongezewa na asiye nacho atazid kunyang'anywa.
   
 4. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mh lakin ndo tz bwana ukipata nafas tumia ukikosa tulia....
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ntaenda omba kazi huko, wacha nianze kujipanga
   
 6. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  SASA NDUGU UBONGO HARAGE uyo anaelipwa milioni 7.5 ni nani ndugu niulize sasa ivi?
   
 7. a

  amanayor Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pale kima cha chini ni mil 1 na kitu,
   
Loading...