Hii ndio aina ya mwanamke ninayempenda, wewe je!

Hii ndio aina ya mwanamke ninayempenda, wewe je!

Napenda mwanamke ajue kuwa yeye ni mwanamke.

Napenda mwanamke asivae wiki

Napenda mwanamke asijipake Ile mirangi rangi, asipake wanja

Napenda mwanamke asijichubue, aridhike jinsi alivyo

Napenda mwanamke akate nywele, (hasisuke)

Napenda mwanamke mtafutaji, ajiamini kuwa anaweza kufanya jambo bila Mwanaume

Napenda mwanamke ambaye siyo mwoga wa kuthubutu na anaweza kusimama mwenyewe

Napenda mwanamke ambaye hana makundi ya marafiki

Napenda mwanamke ambaye hana kucha ndefu, habandiki kope
, havai dela bila chupi

Napenda mwanamke ambaye anaridhika, anajituma ili kutimiza malengo aliyokuwa nayo

Napenda mwanamke mcha Mungu na awe na hofu na Mungu, mwenye upendo wa dhati, asiyependa starehe kama kwenda club, kunywa bia n.
K

Wewe unapenda mwanamke au mumeo wa aje inawezekana uliye naye siyo wako ni wangu[emoji12] [emoji12]
nimekosa hizo sifa mbili
 
Tena upate mwanamke anayependa kula maboga kuliko cake an burger& mwanamke asiyependa vinywaji vikali na soda but yupo addicted na maji tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..! Ila wengi wamebadilishwa na jiji at last tunawaimbia kale kwa wimbo ka "Profesor Jay ft Ferooz"^
______________________________
^"NKUSAIDIEJE"
 
Napenda mwanamke ajue kuwa yeye ni mwanamke.

Napenda mwanamke asivae wiki

Napenda mwanamke asijipake Ile mirangi rangi, asipake wanja

Napenda mwanamke asijichubue, aridhike jinsi alivyo

Napenda mwanamke akate nywele, (hasisuke)

Napenda mwanamke mtafutaji, ajiamini kuwa anaweza kufanya jambo bila Mwanaume

Napenda mwanamke ambaye siyo mwoga wa kuthubutu na anaweza kusimama mwenyewe

Napenda mwanamke ambaye hana makundi ya marafiki

Napenda mwanamke ambaye hana kucha ndefu, habandiki kope, havai dela bila chupi

Napenda mwanamke ambaye anaridhika, anajituma ili kutimiza malengo aliyokuwa nayo

Napenda mwanamke mcha Mungu na awe na hofu na Mungu, mwenye upendo wa dhati, asiyependa starehe kama kwenda club, kunywa bia n.K

Wewe unapenda mwanamke au mumeo wa aje inawezekana uliye naye siyo wako ni wangu[emoji12] [emoji12]
Umeshaoa au bado uko single?
 
mhhh izo dalili za ubahili tyu

ukiendelea na vigezo ivo utaoa ukiwa na fifty's au sixty's kabisa kwasababu wanawake wengi wakifika umri huo ndio wanakua na sifa izo
Mkuu nimeambiwa WaPo so natafuta mpaka niwapate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom