Hata kama demokrasia ni kuruhusu Uhuru wa mawazo hivi unadhani wako ni Uhuru wa mawazo au Uharo wa mawazo?Vipi la Sugu kugeuka baunsa wa Mbowe amamu ya nne?
Tunataka chama cha upinzani cha kizalendo km Nccr mageuzi Sio hawa wahuni wa ufipa
Hata kama demokrasia ni kuruhusu Uhuru wa mawazo hivi unadhani wako ni Uhuru wa mawazo au Uharo wa mawazo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi zote zenye uhuru wa kujieleza,uhuru wa kuhuru kuzungumza unachotaka,zimepita hatua kimaendeleo,kimawazo na fikra za raia wa Nchi husika
Najaribu kuona Julius Malema anavyoruhusiwa kupambana bungeni tena mbele ya Rais na hoja zinabishaniwa kwa hoja napata raha sana.
Je, hali kama hii ingetokea katika Bunge la TZ au tuseme Bunge la Ndugai ingekuwaje? Uhuru huu wa mawazo ungeruhusiwa nchi yetu ingefika wapi kimaendeleo?
Tunakwama sana mambo mengi na sababu ni kuwa kuna miungu watu ambao hata wakiharibu hawahojiwi hata kusemwa tuu nayo ni hatari kwani DPP na polisi wanaweza kutumiwa kukupa mateso na wengine wakajikunyata.
2020 ndio nafasi pekee ya kubadili mambo na kutoa Uhuru mkubwa kwa Bunge baada ya kuhakikisha Tumehuru ya uchaguzi inaundwa na watu wakatumia haki yao na ikaheshimiwa.
Naunga mkono hoja
Najaribu kuona Julius Malema anavyoruhusiwa kupambana bungeni tena mbele ya Rais na hoja zinabishaniwa kwa hoja napata raha sana.
Je, hali kama hii ingetokea katika Bunge la TZ au tuseme Bunge la Ndugai ingekuwaje? Uhuru huu wa mawazo ungeruhusiwa nchi yetu ingefika wapi kimaendeleo?
2020 ndio nafasi pekee ya kubadili mambo na kutoa Uhuru mkubwa kwa Bunge baada ya kuhakikisha Tumehuru ya uchaguzi inaundwa na watu wakatumia haki yao na ikaheshimiwa.
Chama cha siasa kina katiba yake, utamaduni wake na taratibu zake. Kabla ya kujiunga kwa hiari lazima ukubaliane hutaki nenda kingine.Chadema ndani hamuyawezi sembuse bunge ? Mbunge tu wa chadema kuhudhuria vikao vya bunge mnamfukuza uanachama.mtu akitaka tu kugombea cheo Cha uenyekiti chadema taifa nongwa hayo ya malema mtayaweza ikiwa huko ndani tu chamani kwenu hamkuwezi
Wenzenu akina malema ndani ya chama Chao wanakuweza kabla kwenda bungeni
Taratibu zenu zinakwaza midiwani, wabunge na wanachama wenu tofauti na chama Cha akina malemaChama cha siasa kina katiba yake, utamaduni wake na taratibu zake. Kabla ya kujiunga kwa hiari lazima ukubaliane hutaki nenda kingine.
Lakini Bunge la nchi linataratibu zilizokubaliwa na nchi nzima sio huo upoloto wa Ndugai
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Sanaa inayotumika hata mtoto haimuingii. Hao madiwani na wabunge mbona wakikwazwa hawaendi chama kingine chenye mrengo kama walipotoka kupinga udhalimu wa ccm Bali wanaenda huko hukoTaratibu zenu zinakwaza midiwani, wabunge na wanachama wenu tofauti na chama Cha akina malema